Kabila Lako Lina Sifa Gani?

Enzi zile za radio Tanzania wakati Dakati Wakati akiwa ni mkurugenzi mkuu,
kuliwa na mtangazaji mmoja alikuwa anaitwa Michael Katembo, alikuwa akiendesha kipindi kiitwacho TUMBUIZO ASILIA.
hicho kibwagizo ulichokiweka hapo juu kimenikumbusha mbali sana.
peace and love Broda
 
Wajaluo wa wapi hawa unaowazungumzia? Wa Kenya nadhani walishiriki kwenye mauaji ya visasi/vinyongo!Unaweza kuwa mkatili bila kinyongo?
Wajaluo ni wajaluo tu!

hapana hapa ni makabila ya Tanzania bila shaka ni wajaluo wa Tanzania,ni wachache sana na ukilinganisha na wakenya na uganda na wanatofauti kubwa sana na wakenya,katika hali ya kawaida wanawaogopa sana hao wakenya wanawaita manyang'au...wajaluo si wajaluo tu mama taratibu...
 
Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?

Hili linakusaidia vipi? Au una ajenda nyingine?
 
Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?

Ur almost ma blaza, women in my tribe r known to be very soft spoken, gentle, kind, beautiful, with killer legs and are really smart. Soo proud of ma tribe!, wouldn't ask for anything more or less!
 
Ur almost ma blaza, women in my tribe r known to be very soft spoken, gentle, kind, beautiful, with killer legs and are really smart. Soo proud of ma tribe!, wouldn't ask for anything more or less!

We lead in love guys...pia am proud of my proud...we dont care about anything...we give true love from our inner heart..We love naturally,we care by nature and we handle love as bussiness..WE SUKUMA knows what means LOVE....twaitwa bashosha ng'ombe what that means?
 
Back
Top Bottom