Kabila Lako Lina Sifa Gani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,332
Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?
 
wajanjawajanja unapenda pesa kuliko utu......uko radhi kuoa roho ya mu kisa vijesenti,tumeenea kila kona ya nchi hii tunamiliki mabaa na maduka...maarufu wa kuchoma nyama...kupiga rangi viatu na kuuza scrapers.Tuna abia ya kujenga majumba kwetu na kuyafunga hadi siku za krismas ambapo tunarudi wote nyumbani hata kama ukipandishiwa nauli maradufu.Tunapenda kupiga kilauri......wengi wa matajiri wa kabila letu utajiri wao una utata sana
 
Tumedominate biashara zote nchini, tunaenda kuhiji kwetu kila mwisho wa mwaka, tumeanzisha vyakula vinavyopendwa nchi nzima, mtori, kisusio, nyama choma, na kitimoto. Tuko kwa wingi kila idara, wabaya wetu wanatusingizia kuwa tuna ukabila, je ukabila gani huo?
 
KABILA LANGU NI MASHUHURI KWA KUCHEZA NGOMA, UMALAYA UZINZI, WANAWAKE WANAPENDA KUITA MAFIGA MATATU, hatuwezi uongozi maana hata Rais wa nnchi anatoka wilayani kwetu ndo hayo mnayo yaona.
Uchawi ndio jambo lililoturudisha nyuma
 
wazaramo....mdomo mwingi na uvivu...
wadigo......ngono tu..na ushirikina..
wahaya.....umalaya.....na masifa masifa...
wachaga...wizi,na kutafuta pesa..
wahehe....utiifu,na kazi za ndani....
wasambaa...kulima sana,na ucheshi
wamakonde...ngoma,na kazi za ulinzi
wamasai...wana maadili,na kazi za ulinzi..
wagogo....kuomba omba tu
waha...ubishi na kijifanya wanajua..
wakwere....uvivu na starehe
wanyamwezi.....ujuaji nao kama wazaramo.
wafipa ....uchawi nakulima sana.
wanyakyusa...kulima sana na kujisikia sana.
 
Unatafuta kichapo wewe...
unamfahamu tingatinga?
 
wajanjawajanja unapenda pesa kuliko utu......uko radhi kuoa roho ya mu kisa vijesenti,tumeenea kila kona ya nchi hii tunamiliki mabaa na maduka...maarufu wa kuchoma nyama...kupiga rangi viatu na kuuza scrapers.Tuna abia ya kujenga majumba kwetu na kuyafunga hadi siku za krismas ambapo tunarudi wote nyumbani hata kama ukipandishiwa nauli maradufu.Tunapenda kupiga kilauri......wengi wa matajiri wa kabila letu utajiri wao una utata sana

Mtasema mchanae usiku mtalalaaa!! kachirikachiriii....
Nawaambia mtaishi kusema tu sisi kama kawa mbele kwa mbele kurudi nyuma no.
 
wazaramo....mdomo mwingi na uvivu...
wadigo......ngono tu..na ushirikina..
wahaya.....umalaya.....na masifa masifa...
wachaga...wizi,na kutafuta pesa..
wahehe....utiifu,na kazi za ndani....
wasambaa...kulima sana,na ucheshi
wamakonde...ngoma,na kazi za ulinzi
wamasai...wana maadili,na kazi za ulinzi..
wagogo....kuomba omba tu
waha...ubishi na kijifanya wanajua..
wakwere....uvivu na starehe
wanyamwezi.....ujuaji nao kama wazaramo.
wafipa ....uchawi nakulima sana.
wanyakyusa...kulima sana na kujisikia sana.

Boss katika hii list yako wewe unaangukia wapi?
 
Kuna kabila linaitwa wanyiha naombeni sifa zao
WANYIHA wanatokea wilaya ya MBOZI MBEYA ni makatili sana, wana sura za upole na wakimya, wanaongea taratibu. Ndio wachunaji ngozi hodari, watengeneza magobore (walishawahi kutengeza bunduki ambayo haijawahi kuonekana popote na waliteka kituo cha polisi Tunduma na Benki mwaka 1998 hadi kikatumwa kikosi maalum kwenda kupambana. Risazi za bunduki hiyo vilikuwa ni vipande vya nondo ilikuwa ikitoboa ukuta) wao ndio watekaji wakubwa wa magari, tena mbaya kabisa wakifanya uhalifu wakatambua kuwa wanakufahamu lazima wakuue. wananeno lao "tumugoje tumuleshe" maana yake tumuue au tumuache.
Wanyiha ni soo
 
wa kwetu kwa kweli ni wavivu sana si wanaume wala wanawake.Wanapenda vya dezo,kwa ngoma na minuso huwaelezi kitu wako tayari wafunge safari ya umbali mrefu kuja kusherehekea ngoma halafu akifiak jiandae kumtafutia nauli ya kurudia kwao....hata kwenye maguezi ya siasa wako nyuma sana..wao pesa mbele kuliko kupata kiongozi bora..but ni wakarimu sana na wana umoja sana.
 
WANYIHA wanatokea wilaya ya MBOZI MBEYA ni makatili sana, wana sura za upole na wakimya, wanaongea taratibu. Ndio wachunaji ngozi hodari, watengeneza magobore (walishawahi kutengeza bunduki ambayo haijawahi kuonekana popote na waliteka kituo cha polisi Tunduma na Benki mwaka 1998 hadi kikatumwa kikosi maalum kwenda kupambana. Risazi za bunduki hiyo vilikuwa ni vipande vya nondo ilikuwa ikitoboa ukuta) wao ndio watekaji wakubwa wa magari, tena mbaya kabisa wakifanya uhalifu wakatambua kuwa wanakufahamu lazima wakuue. wananeno lao "tumugoje tumuleshe" maana yake tumuue au tumuache.
Wanyiha ni soo
AAAH, wANYIHA KUMBE NI MAJASIRI NA KATILI NANI WABUNIFU.
 
wakuu nipeni taarifa kuhusu haya makabira,

wabende,
wapimbwe
wazigua,
wamanyema,
wajaluo,
wakinga
 
Wakinga mabahili sana, anaweza kufa kwa njaa huku mfukoni akiwa na milioni hamsini.
wakinga pia ni wabishi sana, hata kitu ambacho hakijui yeye anabisha tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom