Kabila Lako Lina Sifa Gani?

Kabila Lako Lina Sifa Gani?

na hawa:
- wanyiramba,
- wabena
- wasandawe
- wanyaturu

Tujuzeni jamani

warangi
wanyaturu
wanyiramba

sifa yao kubwa ni uchoyo,na roho ndogo.na pia ushirikina na kukeketa wasichana.
 
wa kwetu kwa kweli ni wavivu sana si wanaume wala wanawake.Wanapenda vya dezo,kwa ngoma na minuso huwaelezi kitu wako tayari wafunge safari ya umbali mrefu kuja kusherehekea ngoma halafu akifiak jiandae kumtafutia nauli ya kurudia kwao....hata kwenye maguezi ya siasa wako nyuma sana..wao pesa mbele kuliko kupata kiongozi bora..but ni wakarimu sana na wana umoja sana.

ni wazaramo sio??????
 
wakuu nipeni taarifa kuhusu haya makabira,

wabende,
wapimbwe
wazigua,
wamanyema,
wajaluo,
wakinga

kwa wanawake wanaojua mapenzi na ukarimu
wazigua
wamanyema nawapa respect,
wakinga watu wazuri lakini wanahasira sana
wanapenda ushirikina wa kuua ndugu kwa mali na pia kujiua jiua.
wajaluo ni wakatili lakini wako open minded,hawana vinyongo
wala si watu wa maneno na umbea.
 
vyako vyangu vyangu vyako
Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?
 
according to some ppl, ninaweza kusema kabila langu lina sifa ya kuwa na watu wenye "akili" sana nchini (viz. "wazungu wana akili kuliko watu weusi" thread). Ila, huwa wanatubambikia eti tu malaya na tuna majisifu, soma zaidi hapa kupata undani: http://blacfoundation.org/historia_yake.pdf
 
nasikia wajaluo wana mila yao moja,
jamaa akioa dada yako, basi mnaandaa mobu, mnamvizia muoaji kisha mnampa kichapo kitakatifu,
hapo ndio jamaa anakuwa amekaribishwa rasmi kwenye familia
 
warefu, wa pole, hodari, wafugaji na siku hizi kulima pia, wanamisimamo isiyotetereka, wanapenda haki (hawaogopi kudai haki yao), wanampango mzuri wa kiheshima kwa kila kada, wakipata nafasi wanafanyakazi vizuri bila uvivu wala kuonea,.....
 
wazaramo....mdomo mwingi na uvivu...
wadigo......ngono tu..na ushirikina..
wahaya.....umalaya.....na masifa masifa...
wachaga...wizi,na kutafuta pesa..
wahehe....utiifu,na kazi za ndani....
wasambaa...kulima sana,na ucheshi
wamakonde...ngoma,na kazi za ulinzi
wamasai...wana maadili,na kazi za ulinzi..
wagogo....kuomba omba tu
waha...ubishi na kijifanya wanajua..
wakwere....uvivu na starehe
wanyamwezi.....ujuaji nao kama wazaramo.
wafipa ....uchawi nakulima sana.
wanyakyusa...kulima sana na kujisikia sana.[/QUOTE]
si wote, kwetu MWAKALELI, hatuna hiyo ni wapole, tunapenda kulima hapo una utani na Mwamnyange na Dr Mwakyembe wewe eeee!
 
wasukuma ndo the best
wana roho ya kitajiri,
hawana dharau na mtu,
hawana kujisikia.
wana miili mikubwa.
afya njema.wacheshi....

Hizi ni stereotypes tu kuna mambo ya nature na nurture... Nilikuwa na hisia hizi kuhusu wasukuma hadi nikakutana na baadhi tofauti na maelezo haya. Common dinominator ni kwamba kweli wana miili mikubwa na hii inasababisha akili kuwa ndogo...

Lakini people hili swali huweza kuulizwa kwenye interview ili wapate personal attributes/disposition ya msailiwa.

Sisi huwa wanasema wana akili, misimamo, hawakubali kushindwa na kiburi...Lakini sifa hizi sio predominant kwa wote maana sifa hizi hizi utamkuta mtu wa kabila tofauti anazo. Hata wazungu...
 
Hizi ni stereotypes tu kuna mambo ya nature na nurture... Nilikuwa na hisia hizi kuhusu wasukuma hadi nikakutana na baadhi tofauti na maelezo haya. Common dinominator ni kwamba kweli wana miili mikubwa na hii inasababisha akili kuwa ndogo...

Lakini people hili swali huweza kuulizwa kwenye interview ili wapate personal attributes/disposition ya msailiwa.

Sisi huwa wanasema wana akili, misimamo, hawakubali kushindwa na kiburi...Lakini sifa hizi sio predominant kwa wote maana sifa hizi hizi utamkuta mtu wa kabila tofauti anazo. Hata wazungu...

kila nilichoandika hapa sio ukweli asilimia mia moja
ni popular opinion tu.
wapo watu tofauti na jinsi makabila yao yalivyo.
 
wazaramo....mdomo mwingi na uvivu...
wadigo......ngono tu..na ushirikina..
wahaya.....umalaya.....na masifa masifa...
wachaga...wizi,na kutafuta pesa..
wahehe....utiifu,na kazi za ndani....
wasambaa...kulima sana,na ucheshi
wamakonde...ngoma,na kazi za ulinzi
wamasai...wana maadili,na kazi za ulinzi..
wagogo....kuomba omba tu
waha...ubishi na kijifanya wanajua..
wakwere....uvivu na starehe
wanyamwezi.....ujuaji nao kama wazaramo.
wafipa ....uchawi nakulima sana.
wanyakyusa...kulima sana na kujisikia sana.
The Boss unamiliki kabila zote hizo? mmmh!
 
Back
Top Bottom