Mnyakyusa hata angekaa ULAYA miaka 50 hawezi acha kuongea kinyakyusa na haachi utamaduni wa kwao kamwe. Bibi yangu anaishi Dar esalaam Magomeni toka miaka ya 60's lakini hadi sasa hajui kiswahili na haongei kiswahili zaidi sasa majirani inawabidi wajifunze kinyakyusa kupitia kwake. Wengi tumejua kinyakyusa kupitia kwake. Hivyo Tuuenzi utamaduni wetu