Cestus
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 987
- 132
Then you must be in the middle of nowhere...hivi kuna watu huwa wanatumia internet ya tigo kabisaaa....!!!?? mi katika zaidi ya mara 50 nilizojaribu kutumia internet ya tigo ni kama mara moja tu ndo angalau nilifanikiwa kuload page ya google tena baada ya kusubiri kama dakika 2 nzima hivi.....tigo mi nawasifu kwa kupiga simu tu...ila net...mmmhhh:nono::nono::nono:..