Hiyo ya paka mbona kawaida sana........ila huyo maharab........nachafua wallah......
Hiyo ya paka mbona kawaida sana........ila huyo maharab........nachafua wallah......
Mkuu Mbuzi Mzee Paka anayo akili kumshinda binadamu, binadamu akili yake kama ni mnyama na kuna wanyama wana akiliza kibinadamu. uUnaona jinsi video inavyoonyesha?
Unaharibu jina Bwana usimwite Ustaadh kila anae vaa kanzu na kilemba atakuwa ni Ustaadh? ahhh muite muarabu sio Ustaadh KennedyUstadh anamwaga ndogo hovyo lakini Paka alenga shimo kwa makini.