Kaka huyo jamaa ni mwizi mzuri. Kama ni elfu tatu mshukuru Mungu.Ndio ujue kiasi gani life limekaba mkuu
Akija inshallah asipojitahidi kukopa inakuwa nafuu kwanguPole kaka,ile mbinu yangu ya kumwambia kopa ntakuja kukurudishia Mara mbili inanisaidia sana!!
Usiniambie jamaa huyu huyu ndio nawe alikupiga elfu 40?pole mkuuKaka huyo jamaa ni mwizi mzuri. Kama ni elfu tatu mshukuru Mungu.
Hapo faida uliyopata ni fundisho. Chukulia hiyo elfu 3 ni tuition fee.
Wiki ya tatu sasa nimetuma 40,000 na mpaka sasa sijaletewa mfanyakazi. Wakati mwingine vitu vibaya hutokea ili vizuri vije.