Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,224
Wapendwa wanaJF,nasikitika kuwaambia kuwa suala la mdada wa kazi nililotangaza kuhitaji majuzi limenifanya nilizwe baada ya kuambiwa nitume nauli!!
Kim2 ni mwanaume ila anajifanya mwanamke,ambaye anatoa namba za mawasiliana hizi zinazoishia na 200 na 057 ambazo ukipiga anapokea mdada anayejitambulisha kuwa anaitwa ELIZABETH na anaishi Bagamoyo, gia ya utapeli ni kujifanya Dar na Bagamoyo sio mbali hivyo ukituma kiasi kidogo hautashtukia!
Unatuma nauli then hapokei simu tena,mpaka leo hii nawatahadharisha KIM2 ambaye ana ID's nyingi humu ili kutapeli watu wengine ni TAPELI wangu namba ONE!!!