ka swali ka kizushi

ka swali ka kizushi

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,338
Reaction score
111,580
Wakati dunia inaomboleza kifo cha mwanahabari Mwangosi ngoja tujiliwaze kidogo.

Eti kama MWIZI amemuoa MCHAWI halafu wakabahatika kupata mtoto CHANGUDOA, wakati wa usiku nani kati yao atalala nyumbani?????
 
Simple! Atalala mtoto na mteja wake.
 
Wakati dunia inaomboleza kifo cha mwanahabari Mwangosi ngoja tujiliwaze kidogo.

Eti kama MWIZI amemuoa MCHAWI halafu wakabahatika kupata mtoto CHANGUDOA, wakati wa usiku nani kati yao atalala nyumbani?????
mtoto wa kike changudoa, wa kiume mlinzi! nyumba itakuwa ni balaa hiyo, lol! uwiiiiiiiiii u have made me to laugh out loud! lol
 
Mwizi.............................!!!!!!!
 
mtoto wa kike changudoa, wa kiume mlinzi! nyumba itakuwa ni balaa hiyo, lol! uwiiiiiiiiii u have made me to laugh out loud! lol

naam inabidi tucheke kidogo kupunguza stress
 
hahaha...kama vile inaelekea kuwa jibu
Ndio jibu lake mkuu. Hicho kichangu kikjua kabisa baba na mama hawatakuwepo home kitamwambia mteja wake "nipe hela ya room twende tukalale kwangu"

STUKA MKUU!
 
hahahah...nafikiri ndio litakua jibu sahihi maana hata mimi nimeshindwa kujipa jibu
 
Back
Top Bottom