Ka mchapo....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ka mchapo.......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by M'Jr, Apr 4, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Last Thursday nilienda kwa ka mkutano kafupi hivi ambako kalikuwa kana comprise kama watu 30 hivi. Bahati mbaya nilifika nimechelewa na kwa kuwa nilikuwa kwenye list ya kufanya presentation nikafanya fupi then tukaingia kwenye discussion na mwisho kukawa na wakati wa kahawa baada ya ka mkutano kenyewe kwisha.

  Wakati tuko kwenye kahawa ndipo ka mchapo kalipo, wengi wa waliokuwepo kwenye hako ka mkutano tunafahamiana ingawa walikuwa wanatoka mikoa mbalimbali na wengine nje ya nchi, sasa kukawa na kabinti kamoja ka kisomali ambako sikuwahi kukutana nako kabla. Sasa wakati napata kikombe changu cha kahawa huku napiga stori na wale tunaofahamiana kakaja moja kwa moja kwangu ".................... (jina langu) naomba namba yako halafu unambie tumewahi kuonana wapi maana am very sure tumewahi kukutana sehemu.

  Dah kwakuwa sikutaka kuonekana nimestuka nikampa then nami nikamwambia we definitely have to talk nawe unambie tumewahi kuonana wapi maana sura yako sio ngeni. But kiukweli i have never met her before, sasa nikabaki na maswali kidogo;

  • Was this her style of approaching?
  • Does she real know me from somewhere?
  Dah ndo kamchapo kangu hako
   
 2. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,684
  Likes Received: 880
  Trophy Points: 280
  Inawezekana aligundua unamkodolea sana, hivyo akaona akutengenezee njia!
   
 3. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaa wala hata nilikuwa simkodolei bhana, alshabab wale kwani mi napenda kulipuliwa!

  Dah jana nilimuona mbabu mmoja kutoka huko Tandahimba kwenu analalamika hakuna maji anapiga dash ya kuoga mpaka wiki
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...siku hizi si unajua tunaenda sawa...if you do me i do you style...haha!.so mtoto kakufia labda tangu mkutano umeanza...na hakuona hiana kukuingia kiivyo...wanajua kutongoza hawa siku hizi!
   
 5. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa bado wanabaki kuwa na elements za women tu za aibu na something like that ndio maana they cant come straight
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kuna bi dada wana ujasiri...hata ww huoni ndani...LOL
   
 7. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Dah! mkuu umeokota dodo chini ya muarubaini!! usilaze damu.
  MP.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  He he he, kuku keshakuwa wako majigambo ya nini?

  Bweka baba, bweka, hasa kama kifaa kinalipa.  @maprosooo, ujue avatar yako inanifanyiaga eyez harasement? Inatisha hilo shimo la nazi kichwani.
  Au tumeshawahi kutana somewhere?
   
 9. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaa i love you with whole my foot asee, you make my days.

  Hata mi nahisi kweli mmeshawahi kukutana, Lol!
   
 10. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Alshabab mkuu
   
 11. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0


  hapo bold hahaha!
  kongosho hulazi damu lolz!
   
 12. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  I love her gutts...
   
 13. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Dah achana na watoto waliokulia Tandale kwa Mtogole, au Unga Limited, au Mabatini na cota zote za polisi ni noma
   
 14. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Shi izi yuniki kabisa
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  I swear on my fake nails, i like this story lol

  Nikilaza damu itaganda, afu nipate kasa ya damu bure

  Heh, huu si ugonjwa unaoletwa na kula nyama ya mbuzi sana??

  Aisee, umejuaje hapo red hapo, umepiga pale pale.
  Afu, you are becomming a witch kidogo kidogo

  Nimekulia hapo red, sasa hivi naishi hapo blue.
   
 16. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Pale kwenye fake nails umesahau kusema ulizobandika na patex maana super glue siku hizi fake pia so fake na fake zinapishana.

  Eeeuwiii! Ntaenda kwa mchungaji aniwekee mkono hako ka u witch katoke
   
 17. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  wakati anaongea alikuwa kakukodolea macho au aliongea huku ana aibu? je mumeweza kukaa meza ya wawili na kuongea?
   
 18. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Jioni yake tulitoka dinner ila tulikuwa kama 8 hivi then tulipotoka nikawaacha club mi nikaenda zangu hotelini kulala coz nilikuwa nimechoka. Well ila tumechat kidogo coz asubuhi yake mi nilirudi kazini kwangu mkoa mwingine so kimsingi we never met but it was a begging kwa sisi kukutana kiukweli
   
 19. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  we wa ukweli sana amyner...!she got b.a.l.ls(hivi anazo kweli...lol!!) kusema hivyo and to me that makes her even more 'sexier'(dont know if there's sucha a word)!anajua anachotaka,anajua namna ya kukipata,and anachukua hatua kuelekea kukipata,anavutia zaidi bab!
   
 20. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kongosho, somebody got a crush on you!
   
Loading...