Ka ghetto ka MASTA

yaani hawa watu ni mungu tu huwa anawalinda hizo nyumba zina vidirisha vidoooogo kweli hamna hewa ukimwengiza hapo mtoto wa DSM anafia huko hatoki nakwambia ni mungu tu huwa anawalinda na maradhi yote
 
mi ndo maana sikubaliani na wanaosema kunakiama cha moto,yaani niishi mahali kam hapo maisha yangu yote uje kuniambia rizwani kikwete anaenda peponi na mimi motoni?
yaani huyo mungu atakuwa katili kiasi gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…