Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,833
- 155,780
Hii kitu ndio inatwa boma la Ole NaikoNimependa hiyo uniformity, si unajua mambo ya mitala tena! hakuna wa kusema mwenzangu anapendelewa
mbona kukame sana, ndio maana wamasai wanakimbilia mjini kufanya kazi za ususi na ulinzi