Chokonochokono mmechokonoana weee !
Hatimae huyu kachokonoa mlipokua mnajifanya hampagusi !
Unafikk mtupppu!
Haya Fungeni uzi. Wa mwisho msumari jenezani ndiyo huu ushagongwa na huyu! Navishe
mabata madogo madogo yanaogelea yanaogeleeeeeeea...........katika shamba zuri la bustani...lol,hii thread inawafaa na ndio imejaa hao wanaoimba hivyo....lol