K tano!

K tano!

a hujambo hb wangu?hahaaa unajua kinu wewe?

Hahaha nafahamu sana kinu ni nini...aisee wachagga msisome hii sentensi.

Mie mzima sana umekumbukwa sana na mimi...
 
Hahaha nafahamu sana kinu ni nini...aisee wachagga msisome hii sentensi.

Mie mzima sana umekumbukwa sana na mimi...
ahahaaa wewe mchaga ? wewe mnyarwana na kinu wapi na wapi? kinu tuachie sisi bana
 
Sichangii li thread lako linalohusu ma K nimefunga mimi.....

Khaaaa.
Sasa K tano zinakuziwia vipi kufunga?
Si ungeacha kufungua thread kabisa?
Mi namsema yule anaedhani umma ukiamini ana pesa maana yake kweli ana pesa.
Umma ukiamini ni mrembo maana yake kweli ni mrembo
Umma ukiamini Kambaku ni wake maana yake kweli ni wake.
Reality yake ipo defined na watu asio wajua, vivuli vya mtandaoni
Na akikosa wakumsifia anajifungulia account ya kujipigia debe
Ili umma uamini kua ana fan club fulani. Lol
Cc AshaDii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom