K tano!

K tano!

K 5? Nimekuja mbio nikidhani mtu kaiba pasiwedi ya Mwali.

Niliibiwa Juzi na Kambaku, nikakuta kachangia kwenye
ile thread ya Boflo ya yule ambae maisha yake ni majanga.
Hii thread umeipata 5/5 lakini? Ramadhan Kareem!
 
Last edited by a moderator:
Usha tembelea blog ya Da Asha lakini? Be blessed too...
Ahsante, kweli sijabonyeza naandaa Futari nono na maakulati ya namna.... in-ShaAllah nitasurf na kujifunza plz by your help always.
jioni njema.
 
Ahsante, kweli sijabonyeza naandaa Futari nono na maakulati ya namna.... in-ShaAllah nitasurf na kujifunza plz by your help always.
jioni njema.

Mamaaaaaa...
yaani umesema ya ftari ndio nimekumbuka!
ngoja niwahi jikoni kabla masaa hayajaisha.
 
K 5.................
chezea.........!!!!!!
 
Ukishaujua mlio wa mbwa basi huyo kamwe hawezi kukusumbua...salama lakini kaka!

salama sana mkubwa..
ila dawa ya moto siyo maji kaka, ni moto!!!

ile hali sikuipenda hata kidogo...
BTW yashaisha!! afu sikukumbuka hata kucheki jina lake vizuri,
inawezekana ni mtu wa hapa kwa muda mrefu na ameingia kwa ID nyingine kukukomoa...
 
Nimekuja mbio nimwone huyo creature mwenye MA K..yote hayooo.
 
Sichangii li thread lako linalohusu ma K nimefunga mimi.....
 
Hata usijali mkuu...
Uzuri watu wengi wanazijua habari zake hivyo ni povu tu lilikuwa lamtoka na kutaka kufa na wengi...
Hatutaacha kuwakanya mafirauni wote wenye kujivika ngozi ya kondoo...

salama sana mkubwa..
ila dawa ya moto siyo maji kaka, ni moto!!!

ile hali sikuipenda hata kidogo...
BTW yashaisha!! afu sikukumbuka hata kucheki jina lake vizuri,
inawezekana ni mtu wa hapa kwa muda mrefu na ameingia kwa ID nyingine kukukomoa...
 
nilidhani k hii hii ya huku chini..dah
 
Hata usijali mkuu...
Uzuri watu wengi wanazijua habari zake hivyo ni povu tu lilikuwa lamtoka na kutaka kufa na wengi...
Hatutaacha kuwakanya mafirauni wote wenye kujivika ngozi ya kondoo...

kweli mkuu..jamaa,alikuja kwa fujo sana!
pamoja mkuu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom