Samahani mdau, kuna habari iliyotangulia tu ndo ikatufikisha hapa na huyo niliyem'quote'. Kwa hiyo hana uhusiano, ile tulilolizungumzia ndo lina uhusiano. Na ikiwezekana uishie hapohapo usije ukajikuta unadandia gari la taka
nimecheka mpaka mbavu zinaniuma. hiyo ndio TANZANI akina SHE DED? wako wengi kweli.sasa jiulize mtu anandika maneno mawili anakosea hivyo,je akiwa mwalimu si itakuwa burudani?
Ni vyema kama polisi watachunguza kwa makini chanzo cha mauaji ya huyo dada. Lazima kuna mtu anafanya kazi hapo dukani amekuwa akiwasiliana na majambazi na kutoa taarifa juu ya mwenendo mzima wa jinsi pesa zinavyopelekwa benki. Roho ya marehemu iwekwe mahali pema peponi. Amina.
CONFIRMED , MAZISHI NI KESHO , saa 7 mchana kwenye Makaburi ya Kisutu , Heshima za Mwisho zitafanyika nyumbani kwa GRANTS ( the owner of GRANTS CARE LTD ) TABATA Mawenzi , mwili utawasili saa 4 asubuhi .