Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,298
- 283,249
mwenya kampuni kalala, binti wa watu anabeba pesa nyingi na kuishia kuuwawa... si ajabu mshahara wake ulikua mdogo tu
wivu wa kimapenzi umechangia
Alitumia bastola kumpiga risasiBastola au risasi????? Watanzania ngeliless hadi kiswahili nacho less?
wivu wa kimapenzi umechangia
Alitumia bastola kumpiga risasi
Alitumia bastola kumpiga risasi
tukileta uswahili sana, kilichompiga ni risasi, bastola wala haijamgusa, tena aliyempiga kaondoka nayoHujajibu swali langu . Kapigwa bastola ama risasi? .. Kumsahihisha kuwa alitumia bastola kumpiga risasi ni sawa na kusema alitumia mkono kutengeneza bastola ikatumia risasi kumpiga..
Huyo atakuwa ameishi States au anapenda kuongea American English.????? halafu wanataka kustandardize matokeo ya form4? kweli hii nchi imekuwa kama chombo kisicho na nahodha
tukileta uswahili sana, kilichompiga ni risasi, bastola wala haijamgusa, tena aliyempiga kaondoka nayo
????? halafu wanataka kustandardize matokeo ya form4? kweli hii nchi imekuwa kama chombo kisicho na nahodha
She dead?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Za kutosha, na ndio maana hamtaki kutupa uraisiBravo.. Kumbe wasambaa mnakuwaga na akili ee.
Za kutosha, na ndio maana hamtaki kutupa uraisi