figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,533
- 62,028
Anaitwa MWASITI , ni mfanyakazi wa DUKA LA VIFAA VYA HOSPITALI LA GRANTS CARE LTD , KIPATA / CONGO STREET , Taarifa zinasema kwamba alikuwa anapeleka pesa bank ya HABIB KARIAKOO , alikufa hapohapo , ni dada ninayemfahamu sana , inasikitisha sana , Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali inapostahili , amina . Angalizo , pamoja na k/koo kuzalisha pesa nyingi sana kutokana na biashara zilizopo , lakini Usalama wake ni Hafifu mno , mhalifu anaweza fanya lolote bila kukamatwa ! Shortly ni kama hakuna usalama kabisa .
kuna mwanadada k/koo dar es salaam kapigwa risasi na watu wasio julikana. haijajulikana sababu ni nini. bado naendelea kufuatilia jina lake. mia
Dwell on the motive!kuna mwanadada k/koo dar es salaam kapigwa risasi na watu wasio julikana. haijajulikana sababu ni nini. bado naendelea kufuatilia jina lake. mia
kuna mwanadada k/koo dar es salaam kapigwa risasi na watu wasio julikana. haijajulikana sababu ni nini. bado naendelea kufuatilia jina lake. mia
wivu wa kimapenzi umechangia
sasa kama habari huna uhakika nayo unatupostia humu ili iweje!!!
She dead?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums