K/koo: Kipande cha Sabuni badala ya simu

Mkuu mda huo wa kumwambia hivyo utaupata wapi?

Wakati huo akili si yako tena kaka!
 
Nakumbuka 2011,chupchup buguruni nipigwe,kwa bahat nzuri sehemu waliokuwa wanaisema mm ndio nikawa nimepita kama dakika tano,hiv so wakaferi kwa njia hiyo
 
Mkasa wa kuuziwa jinsi na mimi ulinikuta 2007 pale kariakoo mtaa wa kongo, jamaa kaja na jeans kali akasema anauza elfu sita tu! nikashangaa mzee nikatoa fasta elfu moja moja sita nikampa huku nikiishika jeans huku nikiikagua vizuri.

ile nataka niondoke jamaa akanigeuzia kibao eti jeans kama ile nitaipataje kwa buku 6! akasema chukua pesa yako! hah! akili ikachemka ile nachukua nakuta elfu 2 na kipande cha box! nikambadilikia sura akanipa pesa yangu yote nami nikampa jeans yake na alipotea ghafla.

Kilichonishangaza watu walikua pembeni wanaangalia tu jinsi nilivyokua naingizwa mjini! ila hiyo ya sabuni nilikua makini sana hasa pale ubungo mataa! wanawaonea sana wasafiri.
 
Mi nakumbuka baada ya kumaliza darasa la saba nikaenda Dar kufanya majaribio shule mbalimbali,siku moja nikakuta wale jamaa wanaokunja mkanda alafu ukichoma katikati unakula mara mbili ya fedha uliyoweka.
Wakaniambia kujaribu ni bure, nikajaribu ya kwanza, kuzungusha mkanda peni iko kati,nikajaribu ya pili peni iko kati,nikajua wajinga hawa nikakimbia home fasta, nikachukua elfu mbili( ya enzi izo) ndio nilikuwa nimebaki nayo tuu,nawahi eneo la tukio ili niwakute bado wapo.
Nikatoa 2000 alafu nikachoma peni,jamaa kuzungusha peni iko nje, nikaanza kuyahisi machozi kwa mbaali ila ndio basi tena.
 
Mimi ubungo niko narudi arusha, nikanunua magazeti nikiwa ndani ya basi, muuzaji yuko chini nikacheck headings nikanunua magazeti 3,basi limeondoka nakuja kuyacheki kumbe ya mwaka 2002 hapo ilikua mwaka 2004

Hii ndio kali kuliko zote..........!!
 
Hiyo nakumbuka nilishuhudia ngumi,
 
Mimi ubungo niko narudi arusha, nikanunua magazeti nikiwa ndani ya basi, muuzaji yuko chini nikacheck headings nikanunua magazeti 3,basi limeondoka nakuja kuyacheki kumbe ya mwaka 2002 hapo ilikua mwaka 2004
Na marashi watu wamepigwa sana ubungo
 
Hili nadhani ni tukio la kweli na nimecheka kwa sababu umempa tapeli hela yako halafu unakimbia na kipande cha sabuni ulichouziwa kwa Tzs 30,000!!
 
Hii ndio kali kuliko zote..........!!
MI NILISHAWAHI KUINGIZWA CHAKA PALE KITUO KIDOGO CHA DALADALA NIKATAKA SIJUI KASHESHE VILE UKRASA WA JUU KASHESHE KWELI YA NDANI YOOOTE NI MCHANGANYIKO NA NI MIAKA TOFAUTI NILICHOKA SANA ASEE
 
Nakumbuka 2011,chupchup buguruni nipigwe,kwa bahat nzuri sehemu waliokuwa wanaisema mm ndio nikawa nimepita kama dakika tano,hiv so wakaferi kwa njia hiyo

Upigwe kwa sababu gani, fafanua kidogo!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…