Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,945
Safi kabisa mkuu sasa hawa wanadai et hii ni chaimazoezi walikuwa wanafanya karibu na niishipo...... hero nyeupe
Safi kabisa mkuu sasa hawa wanadai et hii ni chaimazoezi walikuwa wanafanya karibu na niishipo...... hero nyeupe
Chopa ilikua urefu wa futi/mita ngapi kutoka usawa wa ardhi walikokua wakishukia??Leo ilikuwa ni siku ya maajabu aisee mambo tuliyozoea kuyaona kwenye video leo tumeyashudia live bila chenga
Makomando walikuwa wajifanya mazoez ya kushuka kwenye choper iliyoko juu mawingun kwa kamba ebhana ee acha tu waitwe wajeda hao watu
Jamaa wanashuka vichwa vinatizama chin lakin wakikaribia chin wana jigeuza kiaina na kutua kikomando kwa makelele ya kikomando
Choper iliganda juu hewan wakaanza kushuka mmoja mmoja ilikuwa ni noma sana asikwambie mtu.
Mambo ya kwenye video nimeyashudia live
Hongera mabeyo na vijana wako
Palikuwa haparusiwi kupiga picha
LONDON BABY
Hahahaha vyuma vmekaza mpaka mbavuHahahaaa mkuu mbona Leo uko mpole sana
OkayLugaro
hawajielewi hawa sikuhiziMagaidi wanawalinda wapo Ikulu, JWTZ ni jeshi la CCM. Lipokimaslai zaidi. Viongozi wake wote wana kadi za CCM na wanazilipia. Wakistaafu huko wanakuwa wakuu wa Mikoa na wilaya, wengine wanapewa mpaka nafasi za ubalozi. JWTZ wanakula mpaka pesa za UN za wanajeshi wadogo wanaopelekwa Kulinda amani. Rushwa imeshamiri huko kama M/kiti wao kwenye chama chao
Only in TzMagaidi wanawalinda wapo Ikulu, JWTZ ni jeshi la CCM. Lipokimaslai zaidi. Viongozi wake wote wana kadi za CCM na wanazilipia. Wakistaafu huko wanakuwa wakuu wa Mikoa na wilaya, wengine wanapewa mpaka nafasi za ubalozi. JWTZ wanakula mpaka pesa za UN za wanajeshi wadogo wanaopelekwa Kulinda amani. Rushwa imeshamiri huko kama M/kiti wao kwenye chama chao
Achana nae haelewimkuu hivi unajua maana ya kamanda kwa kiingereza ni comander. kwa hiyo huko unapoongelea hakuna comanding officers?
BHahah..!Shibe ni mbaya sana
Mkuu mshana jr ukiacha picha ya kwanza, hizi mbili za chini si za majeshi yetu wala lolote kutokea ukanda wru wa Afeika mashariki na kati. Hilo ni jeshi la Chad
Kwani sisi hatuna special force..? , kwani hawa NEW FORCE ni kina naninchi inahitaji... special force itakayo husika kimataifa na ndani ya nchi...kwa maslahi ya taifa bila kujari siasa.
kwani mi mod?Au mtaje Joseverest
Mkuu kuna mtu alikuzingua siku moja ukampiga mkwara wa levo za Mod, ndo nkajua kuwa ww ni mmoja wao!!kwani mi mod?
Hahaha mkwaraMkuu kuna mtu alikuzingua siku moja ukampiga mkwara wa levo za Mod, ndo nkajua kuwa ww ni mmoja wao!!
Y.O.L.O