JWTZ yaandaa mazoezi ya kijeshi ya pamoja EAC

Leo ilikuwa ni siku ya maajabu aisee mambo tuliyozoea kuyaona kwenye video leo tumeyashudia live bila chenga

Makomando walikuwa wajifanya mazoez ya kushuka kwenye choper iliyoko juu mawingun kwa kamba ebhana ee acha tu waitwe wajeda hao watu

Jamaa wanashuka vichwa vinatizama chin lakin wakikaribia chin wana jigeuza kiaina na kutua kikomando kwa makelele ya kikomando

Choper iliganda juu hewan wakaanza kushuka mmoja mmoja ilikuwa ni noma sana asikwambie mtu.

Mambo ya kwenye video nimeyashudia live

Hongera mabeyo na vijana wako

Palikuwa haparusiwi kupiga picha

LONDON BABY
Chopa ilikua urefu wa futi/mita ngapi kutoka usawa wa ardhi walikokua wakishukia??
 
Magaidi wanawalinda wapo Ikulu, JWTZ ni jeshi la CCM. Lipokimaslai zaidi. Viongozi wake wote wana kadi za CCM na wanazilipia. Wakistaafu huko wanakuwa wakuu wa Mikoa na wilaya, wengine wanapewa mpaka nafasi za ubalozi. JWTZ wanakula mpaka pesa za UN za wanajeshi wadogo wanaopelekwa Kulinda amani. Rushwa imeshamiri huko kama M/kiti wao kwenye chama chao
hawajielewi hawa sikuhizi
 
Only in Tz
 
Vipi na tofali watavunjiana! Maana wanafanyaga ushubwada pale taifa.
 
Kuna mjeda mmoja wa uganda nimekutana nae amepanda bodaboda pale mataa ya kunduchi
 
Back
Top Bottom