Baada ya Kichapo, Madeama Wadai Walinyimwa Uwanja wa Mazoezi na Yanga/TFF

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,097
49,795
Habari zilizothibitishwa na Licha wa Madeama zinasema timu ya yake ilipowasili Tanzania ilinyimwa uwanja wa kufanya mazoezi Kwa siku 2 na maofisa wa Tanzania Ili kuwabeba Yanga hivyo Kushindwa kuwa fiti uwanjani.

Amesema hata walipotafuta uwanja wa kukodi,waliingiliwa na timu nyingine iliyodai ni uwanja wao na kwamba wao hawana taarifa.

My Take
Yanga kama kweli mlifanya Figisu hizi jiandaeni na Rungu la CAF
 
Hao jamaa waongo sana Timu ina Balozi wake hapa ambae ndio muwakilishi wao yeye ana taarifa za Viwanja vyote hapa na Ghana ni watu wa Mpira hivi vitu ni vidogo kwao sema kocha wao ni kama kiredio anataka awe refa yeye kila kitu anajua yeye pia kawafundisha wachezaji kutokua na nidhamu na maamuzi ya Refa hilo litawagharimu.

Refa wanamlaumu muda wote harafu anawapa Tuta la kusawazisha wanakosa wao walitaka refa ndio awafungie tena ingawaje tuta lilikua sawa kabisa.
 
Hapa ulifanyiwa figisu wewe na medeama nani ni bora
20231216_224337.jpg
 
Hao jamaa waongo sana Timu ina Balozi wake hapa ambae ndio muwakilishi wao yeye ana taarifa za Viwanja vyote hapa na Ghana ni watu wa Mpira hivi vitu ni vidogo kwao sema kocha wao ni kama kiredio anataka awe refa yeye kila kitu anajua yeye pia kawafundisha wachezaji kutokua na nidhamu na maamuzi ya Refa hilo litawagharimu.

Refa wanamlaumu muda wote harafu anawapa Tuta la kusawazisha wanakosa wao walitaka refa ndio awafungie tena ingawaje tuta lilikua sawa kabisa.
Ndio mliwanyima Sasa viwanja vya mazoezi
 
Hawana nidhamu hadi Kocha wao ni zero brain kabisa

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hao jamaa waongo sana Timu ina Balozi wake hapa ambae ndio muwakilishi wao yeye ana taarifa za Viwanja vyote hapa na Ghana ni watu wa Mpira hivi vitu ni vidogo kwao sema kocha wao ni kama kiredio anataka awe refa yeye kila kitu anajua yeye pia kawafundisha wachezaji kutokua na nidhamu na maamuzi ya Refa hilo litawagharimu.

Refa wanamlaumu muda wote harafu anawapa Tuta la kusawazisha wanakosa wao walitaka refa ndio awafungie tena ingawaje tuta lilikua sawa kabisa.
Mtoe kiredio humu
 
Habari zilizothibitishwa na Licha wa Madeama zinasema timu ya yake ilipowasili Tanzania ilinyimwa uwanja wa kufanya mazoezi Kwa siku 2 na maofisa wa Tanzania Ili kuwabeba Yanga hivyo Kushindwa kuwa fiti uwanjani.

Amesema hata walipotafuta uwanja wa kukodi,waliingiliwa na timu nyingine iliyodai ni uwanja wao na kwamba wao hawana taarifa.

My Take
Yanga kama kweli mlifanya Figisu hizi jiandaeni na Rungu la CAF
Sasa kwa akili zao kiwango chao ni sawa na yanga kweli...
Vitu vingine bhana kutafuta lawana zisizo na sababu isee!
 
Back
Top Bottom