JWTZ yaandaa mazoezi ya kijeshi ya pamoja EAC

JWTZ yaandaa mazoezi ya kijeshi ya pamoja EAC

dunia inabadilika hivyo ni Vyema vyombo vya ulinzi navyo vikajipanga kuendana na kasi ya mabadiliko.
 
Daah! video ndefu sana, dk 20 kwa huu usawa wa uncle JPM ni kutiana umasikini.

Itapendeza kama JWTZ wakiwa wanafanya mazoezi zaidi na majeshi ya Marekani, Israel, Ujerumani, Ufaransa, Uingereza, Italia, Urusi, na China.

Nchi hizo ndo wanaojua kuwashugulikia MAGAIDI vilivyo
Yeah, me nashangaa wanafanya mazoezi ya mapanga wakati wenzao kila siku ni majaribio ya nuclear.
Au hao magaidi ambao wanajiandaa kupambana nao ni wamasai?
 
Leo ilikuwa ni siku ya maajabu aisee mambo tuliyozoea kuyaona kwenye video leo tumeyashudia live bila chenga

Makomando walikuwa wajifanya mazoez ya kushuka kwenye choper iliyoko juu mawingun kwa kamba ebhana ee acha tu waitwe wajeda hao watu

Jamaa wanashuka vichwa vinatizama chin lakin wakikaribia chin wana jigeuza kiaina na kutua kikomando kwa makelele ya kikomando

Choper iliganda juu hewan wakaanza kushuka mmoja mmoja ilikuwa ni noma sana asikwambie mtu.

Mambo ya kwenye video nimeyashudia live

Hongera mabeyo na vijana wako

Palikuwa haparusiwi kupiga picha

LONDON BABY
 
Nakushukuru kwa salute
 
Back
Top Bottom