JWTZ yaandaa mazoezi ya kijeshi ya pamoja EAC

Leo ilikuwa ni siku ya maajabu aisee mambo tuliyozoea kuyaona kwenye video leo tumeyashudia live bila chenga

Makomando walikuwa wajifanya mazoez ya kushuka kwenye choper iliyoko juu mawingun kwa kamba ebhana ee acha tu waitwe wajeda hao watu

Jamaa wanashuka vichwa vinatizama chin lakin wakikaribia chin wana jigeuza kiaina na kutua kikomando kwa makelele ya kikomando

Choper iliganda juu hewan wakaanza kushuka mmoja mmoja ilikuwa ni noma sana asikwambie mtu.

Mambo ya kwenye video nimeyashudia live

Hongera mabeyo na vijana wako

Palikuwa haparusiwi kupiga picha

LONDON BABY
Wapi huko ???
 
Dogo sometimes hata hueleweki..
Mara umekutana na jamaa yako wa Katoro Geita kakutolea mbavuni.
Mara umekutana na demu wa Instagram hukumuelewa muonekano wake, tofauti na ulivyomuona mtandaoni.
Mara unaomba ushauri uoe au uendelee kusoma!
Mara umeona wanajeshi wanashuka na kamba kutoka kwenye chopper, kichwa chini miguu juu.
Mara umefikia kwa shangazi yako Tabata sijui wapi..
Mara threads za uchawi na ulozi wa bibi yako.
Yaani ni vurugu mtindo mmoja.....
Hivi unamfahamu Deogratius Nalimi Kisandu wa humus JF?
Shauri yako, we endelea tu na wenge lako!!!!
 
mazoezi walikuwa wanafanya karibu na niishipo...... hero nyeupe
 
Back
Top Bottom