mudryk
Senior Member
- Jan 21, 2023
- 173
- 220
Mdogo wake na demu wako........jamaa Wa ikuru kashanipa uhakika so mdogo wake na demu wangu lzm avae mshati
Mdogo wake na demu wako........jamaa Wa ikuru kashanipa uhakika so mdogo wake na demu wangu lzm avae mshati
This is unfairlimbuyu ndo kila kitu angalia mfano kwenye vigezo cha umri kwa mtu wa elimu ya juu wakiwa wamemaanisha sijui stashahada, shahada na kuendeleea hakuna mwenye umri usio zidi miaka 27 mwenye shahada na amemaliza mkataba huu ni uongo, huyo mtu hayupo
Hapo inamaana kama umri umekucha inabid ujiongezeeli mbuyu ndo kila kitu angalia mfano kwenye vigezo cha umri kwa mtu wa elimu ya juu wakiwa wamemaanisha sijui stashahada, shahada na kuendeleea hakuna mwenye umri usio zidi miaka 27 mwenye shahada na amemaliza mkataba huu ni uongo, huyo mtu hayupo
Taratibu vijana wakichoka kila mmoja atajua chakufanyaTukiwaambia shida ya nchi hii ni sisiemu muwe mnaelewa. Na msijeshangaa mnaingia kwa kuombwa kadi ya kijani
Tatizo la mshati ni pale kwenye kuusaka unaweza sema hivi nini kilinileta huku?Jamaa Wa ikuru kashanipa uhakika so mdogo wake na demu wangu lzm avae mshati
Nataka niongeze credit ili niwe napewa nyuzi 360Mdogo wake na demu wako
Atavumilia maana anapenda saana kuvaa mshati na pili kwao life ni tafu kidogoTatizo la mshati ni pale kwenye kuusaka unaweza sema hivi nini kilinileta huku?
Yah kama lipo damuni hakuna kinachoshindikana. Ni miezi michache ila huwa kama mwaka. Sina hamuAtavumilia maana anapenda saana kuvaa mshati na pili kwao life ni tafu kidogo
Sema dada yake ni pisi
Hata hao waliopo wanapewa ambao wanambanga mkuu, unaweza ukawa upo lakini huna akujuaye ni kilio tuuuUkweli ninaojua Mimi kazi za jeshi wanapewa direct walio kambini it means wanaendelea na mafunzo 😅😅 ilo tamko ni promo tu
AiseeeeNikikumbuka jenerali mmoja alikua ananikumbusha kama na mtu kwenye ukoo wetu analitaka jeshi nimpe majina. Kabla yeye hajafikia umri wa kustaafu.
Kuvaa zile nguo kuna muda ni rahisi ukiwa kwenye mfumoo
Mambo mengine yanasikitisha mpaka kuchekesha tu sasaKwenye umri hapo sijui wamewaza nini, jkt mtu mwenye shahada akijiunga na miaka 25, anatumikia jeshi kwa zaidi ya miaka miwili, bado anakaa uraiani mda mrefu, angalau wangesema miaka 30, lakini nayo pia hio kama hana mbanga kutoboa ni nadra..
Bhas ni connection tu lazma uwe na mtu kule unaemjua otherwise keki itatupita hiviiHata hao waliopo wanapewa ambao wanambanga mkuu, unaweza ukawa upo lakini huna akujuaye ni kilio tuuu
Ndo maana kuna ongezeko la askari wanaopigwa Risasi za mgongoNgoja waajiri Sample ya Askari wa Zenji tena avae kitenge...
Siku hiyo ntacheka sanaaaaa...
Alafu ntarudi hapa Jukwaani na Dharau Kede kede.