Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,430
- 10,779
Acha kupotosha watu
Acha kupotosha watu
Hii kitu juzi Mama ameikemea sana kuscreen shot nyaraka za serikali na kuzirusha mtandaoni sio sawa, mnavujisha siri za Serikali. Nakushauri wewe uliyeirusha nyaraka hii iondoe faster kabla hujaharibikiwa.
Kweli huu ni Uraia uliopitiliza, Part One Order unairusha mtandaoni?!Hii kitu juzi Mama ameikemea sana kuscreen shot nyaraka za serikali na kuzirusha mtandaoni sio sawa, mnavujisha siri za Serikali. Nakushauri wewe uliyeirusha nyaraka hii iondoe faster kabla hujaharibikiwa.
Aisee [emoji3][emoji3][emoji1787]Hii kitu juzi Mama ameikemea sana kuscreen shot nyaraka za serikali na kuzirusha mtandaoni sio sawa, mnavujisha siri za Serikali. Nakushauri wewe uliyeirusha nyaraka hii iondoe faster kabla hujaharibikiwa.
Je hiyo sheria ipo kwenye katiba [emoji41]Hii kitu juzi Mama ameikemea sana kuscreen shot nyaraka za serikali na kuzirusha mtandaoni sio sawa, mnavujisha siri za Serikali. Nakushauri wewe uliyeirusha nyaraka hii iondoe faster kabla hujaharibikiwa.
Ugumu ni mifumo tu ya uajiri huku kwetu, wenzetu imagine FBI, CIA wanatoa nafasi mpaka kwenye magazeti, Jeshi linafata watu kuwaomba wajiunge, huku kwetu ni tofauti kwanza kabla hujafika huko mafunzoni ushavurugwa mind vibaya sana.Watu wakionyesha nia ya kujiunga na jeshi wanajitokeza watu wachache waliolishwa na kukaririshwa vitu vya uongo wanaanza kutishia watu vifo.
ingekua kule watu wanaenda kufa kusingekua na askari hata mmoja kwenye jeshi maana hakuna mwenye uwezo wa kukwepa kifo,
kwanza askari akifa mafunzoni hiyo inahesabiwa kama hasara na wala siyo lengo la jeshi ndo maana unapewa bima ya afya kabisa ukifika mafunzoni hakuna kifo kule isipokua kwa idhini ya Mungu unaweza usife kule ukafa kwa bodaboda kifo ni kifo tu hakina uhusiano na mafunzo ya kijeshi.
Watu waachwe wazifate ndoto zao na siyo kutishiana tishiana
Siku hizi mpaka uwe na kamba ndefu saaaaaanA
AstakafirurahNyie hamna mtu apa sijui ndio ananisuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
amn jambo hapo[emoji38][emoji38]Mtoto wakiume acha taaarabu jikaze ..
Mhh! Ila we jamaa bwana!Hakuna anaejiunga mafunzo ya jeshi lolote bila kupimwa afya mzee na mtu yoyote ambae Hana ulemavu wala magonjwa sugu anaweza kumudu hayo mafunzo hakuna Cha ajabu
Acheni kutisha watu humu
Utakuja kukuta nafasi hizo zinatangazwa Uraiani!Ndio mkuu, hakuna sehemu rasmi wametangaza.
We ndo mjinga maana umequote ktu ambacho hujakisoma na kukielewa ila umeonyesha tu mihemkoMhh! Ila we jamaa bwana!
Jamaa anaongea ukweli kabisa ila wewe unataka kutia watu ujinga humu, kama unajijua afya yako sio timamu kule hapakufai
Jeshi sio lelemama!
Mmmh mafunzo yao ni ya kawaida sana,Wala hayatishi huwezi kuyalinganisha na mafunzo ya Navy seal kule USA au SAS UK,ni basic military TRaining tu.Bro bakabaka halivaliwi kirahisi kama nguo ya mtumba unayokwenda pale Ilala kuchukua, sikukatishi tamaa ila mpaka kuja kuvaa bakabaka umeumia sana kwenye mafunzo na ikibidi hata kufa. Cha msingi hakikisha uko timamu kiafya huna tatizo lolote linalokusumbua,omba Mungu nafasi nikitoka apply ukibahatika nenda kafanye mafunzo ya awali, ukibahatika kutoboa six weeks wee umemaliza depo, subiri kupass out na kupangiwa kituo cha kazi.
Ujinga ni kufikiri jf yote we pekeako ndo umepita huko ndo mnaleta ujinga wa kutisha tisha watu ionekane ni kitu Cha kutisha sanaHivi wewe hata umepiga kweli wewe maana nnaweza kuwa najibishana na mtu ambae hajapita huko
Ujinga ni kufikiri jf yote we pekeako ndo umepita huko ndo mnaleta ujinga wa kutisha tisha watu ionekane ni kitu Cha kutisha sana
Mafunzo ya magereza na Polisi unayajua?? Usishabikie kisa umepita huko jwtz. Na pia uwe unajua kutofautisha mafunzo na mateso.Nani katisha mtu hapa au kaongea ukweli!
Ingekuwa ni ya kawaida watu wasingekuwa wanakimbia hayo mafunzo!
Narudia usije ukaongea kwamba mafunzo ya TPDF ni ya kawaida maana utaonekana kituko kwa watu waliopita huko!
Narudia: Jeshi sio lelemama, sio jeshi la Polisi au Magereza namaanisha JWTZ
Mafunzo ya Police Ni marefu, darasani kwa Sana,Mafunzo ya magereza na Polisi unayajua?? Usishabikie kisa umepita huko jwtz. Na pia uwe unajua kutofautisha mafunzo na mateso.