JWTZ mnatangaza ajira zenu lini?

Nani katisha mtu hapa au kaongea ukweli!

Ingekuwa ni ya kawaida watu wasingekuwa wanakimbia hayo mafunzo!

Narudia usije ukaongea kwamba mafunzo ya TPDF ni ya kawaida maana utaonekana kituko kwa watu waliopita huko!

Narudia: Jeshi sio lelemama, sio jeshi la Polisi au Magereza namaanisha JWTZ
Jeshi lolote wanaokimbia kozi hawakosekani usifikiri kwa kukariri uliyoyaona kwenye mazingira yako
 
Mafunzo ya magereza na Polisi unayajua?? Usishabikie kisa umepita huko jwtz. Na pia uwe unajua kutofautisha mafunzo na mateso.
Hapa tunaongelea ugumu wa mafunzo hakuna kingine!

Hao sijui Magereza na Polisi ni wachumba tu kwa hawa watu (bakabaka)
 
Hivi wewe kwa akili yako kabisa unataka sasa kulinganisha mafunzo ya kijeshi kati ys Tpdf na hizo taasisi zingine sio?
Nature ya mafunzo ni ileile usitake kuaminisha umma kwamba Tpdf ni kugumu kuliko kwingine,. Wanachozidiana labda ni weapon training tu ambapo Tpdf wanafundishwa baadhi ya silaha za ziada ila kwenye physical fitness hawana tofauti.
 
Mhh! Ila nyinyi mnajua kufarijiana sana!

Mtafute Polisi yoyote yule halafu umuulize scale zao na za TPDF halafu ndo utajua nini nilikuwa namaanisha yani kiufupi hata wao wanalijua hilo kuwa hao kaka zao ni level nyingine.
 
Sijui nani anawalishaga huu ujinga?
 
Bro bakabaka halivaliwi kirahisi kama nguo ya mtumba unayokwenda pale Ilala kuchukua, sikukatishi tamaa ila mpaka kuja kuvaa bakabaka umeumia sana kwenye mafunzo na ikibidi hata kufa. Cha msingi hakikisha uko timamu kiafya huna tatizo lolote linalokusumbua,omba Mungu nafasi nikitoka apply ukibahatika nenda kafanye mafunzo ya awali, ukibahatika kutoboa six weeks wee umemaliza depo, subiri kupass out na kupangiwa kituo cha kazi.
Hvi siz weeks za jw si sawa na zile za jkt? Au kna tofauti?
 
Huyo jamaa hajui mafunzo wanayopitia magereza hususani wale wakutuliza ghasia..aise acha kabisa mzee
Au wale field force sio poa
Nature ya mafunzo ni ileile usitake kuaminisha umma kwamba Tpdf ni kugumu kuliko kwingine,. Wanachozidiana labda ni weapon training tu ambapo Tpdf wanafundishwa baadhi ya silaha za ziada ila kwenye physical fitness hawana tofauti.
 
hivi jamani ety ciz ya tpdf wamechukuliwa tayari kimya kimya na washanza tayari mafunzo
Duh !,labda wameamua kuchukua hawa wa mujibu wa sheria ,kwa sababu JWTZ ndio zao ,wao wanachukua wale wa kujitolea makambini au waliomaliza form six wakaingia JKT kwa mujibu baada ya mafunzo wanawarecruit
 
Vijana wapo depo, mi mtoto wa braza yupo makutupora, wamechukua waliosoma sayansi wale form six waliomaliza jkt ya juz, wametangaziwa wanaotaka, vijana wameenda wengi wameogopa kwenda chuo kikuu alafu ajira hakuna, chuo kikuu wataendaga baada ya kulamba ajira.
 
Back
Top Bottom