JWTZ mnatangaza ajira zenu lini?

JWTZ mnatangaza ajira zenu lini?

Wajikuta malaika kumbe hamna kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakongo ( zamani Wazaire ) wamenibatiza Jina la Utani ambalo ndiyo Jibu langu tosha Kwako kwa kuniita Le Ange Adorable ( Malaika Ninayeabudiwa ) Kazi Kwako na Chuki ( Husuda ) yako Kwangu GENTAMYCINE.
 
Kuna dogo baba ake ni mjeshi mkubwa tu tulienda nae jkt

Naona tunahangaika nae kwenye uhamiaji ku apply Kama kweli hizo ajira zipo angesema

Ukiona hivyo mambo bado au hakuna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wengi wameachwa, nafasi zimejaa Yani so mzazi waweza kuwa nafasi ila zimekuwa kimya kimya
 
Bro bakabaka halivaliwi kirahisi kama nguo ya mtumba unayokwenda pale Ilala kuchukua, sikukatishi tamaa ila mpaka kuja kuvaa bakabaka umeumia sana kwenye mafunzo na ikibidi hata kufa. Cha msingi hakikisha uko timamu kiafya huna tatizo lolote linalokusumbua,omba Mungu nafasi nikitoka apply ukibahatika nenda kafanye mafunzo ya awali, ukibahatika kutoboa six weeks wee umemaliza depo, subiri kupass out na kupangiwa kituo cha kazi.
SIX WEEKS IKIISHA NGOMA NDO INAANZA.

RTS ya masika huijui wewe, haina Cha six week kwisha.

Kalinye kalinyeee
 
Mkuu, naelewa , nilikuwa huko jkt, tena nilikuwa RP, mpaka pale RTS niliwahi kwenda , ila sikufanikiwa kupiga kozi, kwahyo show nzima naelewa.. najua baka baka, hulipati kirahisi..
RP maana yake nini mkuu
 
Inawezekana hizi nafasi za jeshi watu walishaitwa kimya kimya,maana mchepuko wangu ananiambia kuwa kaka yake amekimbia/ametoroka kwenye mafunzo ya JWTZ huko tanga tarehe 4/1/2022 na amefikia kwa ndugu yake aliyepo DSM akiwa hoi.Baba wa mchepuko wangu ni mwanajeshi mwenye cheo hivyo alimfanyia mpango mwanae huyo ili naye avae baka baka kama yeye
Ndio maana nilimshangaa mtoa mada, tarehe ya mwisho kuripoti naskia ilikuwa 8 January.
 
Oooh! Safi sana kama ulishapitia JKT kwako itakuwa kama kumsukuma mlevi, kumbe show nzima unaijua basi wewe sio mzalendo tena tayari ni Askari, kinachotakiwa ni kufanya refresher course ya TPDF, upewe kitenge chako uendelee na majukumu Kikosini.
ha ha , watu tuje tupige level 3, tuvae baret, huko kumwaga maji, sasa.. nalielewa sana jwtz
 
Bro bakabaka halivaliwi kirahisi kama nguo ya mtumba unayokwenda pale Ilala kuchukua, sikukatishi tamaa ila mpaka kuja kuvaa bakabaka umeumia sana kwenye mafunzo na ikibidi hata kufa. Cha msingi hakikisha uko timamu kiafya huna tatizo lolote linalokusumbua,omba Mungu nafasi nikitoka apply ukibahatika nenda kafanye mafunzo ya awali, ukibahatika kutoboa six weeks wee umemaliza depo, subiri kupass out na kupangiwa kituo cha kazi.
Hakuna ugumu wowote acha kumtisha
 
Acha uongo wa vijiweni mafunzo yanayo tolewa ni mafunzo ya ukakamavu na medani za kivita biashara za kutishia watu vifo kila wakitaka kujiunga na jeshi huo ni ushamba wa kizamani, hakuna anae uwawa mafunzoni
Na wala hakuna alie wahi kulaumiwa kisa mtu kafa kwenye mafunzo kifo kinatokea ukiwa sehem yoyote
Nimemshangaa sana huyu bwana anaongea utafikiri kitu gani cha ajabu
 
Umeelewa nilichokiandika au unadandia treni kwa mbele, hayo mafunzo ya ukakamavu unayoyasema kama afya mbovu si utajifia hata kabla hujamaliza mafunzo yenyewe.
Kwani kabla ya kwenda huko si wanafanyiwa vipimo vya afya ya mwili mkuu ndio maana kuna usaili.ukichukuliwa maana ya yake unautimamu wa mwili mkuu wanajua unahimili mafunzo hawazoi tu
 
Inawezekana hizi nafasi za jeshi watu walishaitwa kimya kimya,maana mchepuko wangu ananiambia kuwa kaka yake amekimbia/ametoroka kwenye mafunzo ya JWTZ huko tanga tarehe 4/1/2022 na amefikia kwa ndugu yake aliyepo DSM akiwa hoi.Baba wa mchepuko wangu ni mwanajeshi mwenye cheo hivyo alimfanyia mpango mwanae huyo ili naye avae baka baka kama yeye
Jw wanaendedha kozi yao ya recruit kihangaiko sio tanga labda jkt .depo ya zaidi ya askari 3000 hawezi kuita watu kimyakimya haiwezekani kamwe jw bado hawajaajili
 
Back
Top Bottom