Mkuu, naelewa , nilikuwa huko jkt, tena nilikuwa RP, mpaka pale RTS niliwahi kwenda , ila sikufanikiwa kupiga kozi, kwahyo show nzima naelewa.. najua baka baka, hulipati kirahisi..Bro bakabaka halivaliwi kirahisi kama nguo ya mtumba unayokwenda pale Ilala kuchukua, sikukatishi tamaa ila mpaka kuja kuvaa bakabaka umeumia sana kwenye mafunzo na ikibidi hata kufa. Cha msingi hakikisha uko timamu kiafya huna tatizo lolote linalokusumbua,omba Mungu nafasi nikitoka apply ukibahatika nenda kafanye mafunzo ya awali, ukibahatika kutoboa six weeks wee umemaliza depo, subiri kupass out na kupangiwa kituo cha kazi.
Unaferi, Hayo majeshi , nimezaliwa nayo, na watu tumekunywa maji ya bendera..Amadhani kuvaa bakabaka ni rahisi kama kutangaza Baraza la Mawaziri.
Inawezekana hizi nafasi za jeshi watu walishaitwa kimya kimya,maana mchepuko wangu ananiambia kuwa kaka yake amekimbia/ametoroka kwenye mafunzo ya JWTZ huko tanga tarehe 4/1/2022 na amefikia kwa ndugu yake aliyepo DSM akiwa hoi.Baba wa mchepuko wangu ni mwanajeshi mwenye cheo hivyo alimfanyia mpango mwanae huyo ili naye avae baka baka kama yeye
Hivi tunavyoongea nikwamba tayar vijana washachukuliwa mwaka huu kwenda kupiga kozi ya tpdf, wao wamechukua vijana mojakwamoja kutoka vikosi vyoote vya jkt, na wale walojenga ikuru wamesepa ko saiz wanatumikia uzarendo tu, ko ionafasi ishakupitaKwanza niwapongeze kwa kazi nzuri sana mnayofanya, kwangu nyie ndo taasisi bora zaidi Tanzania hii.
Nikija kwenye mada, lini mtatangaza ajira ?
Mwaka uliopita 2021 walianza Polisi, wakaja Magereza, kisha Uhamiaji na mwisho Zimamoto.
Mwaka huu (2022) mwanzoni Uhamiaji wakatangaza tena.
Kulikoni JWTZ? Mbona kimya.
Kwa unyenyekevu kabisa naomba kuwajulisha kuwa kuna vijana wengi mtaani katika makundi tofautitofauti ambao wanasifa za kujiunga na jeshi.
1. Wapo ambao wamemaliza kidato cha nne ambao hawajabahatika kwenda JKT ila sifa zote wanazo.
2. Wapo waliomaliza kidato cha sita ila hawakubahatika kuchaguliwa jkt kwa mujibu wa sheria kwa sababu ya ukosefu wa nafasi makambini ila wana sifa na moyo wa kulitumikia jeshi letu.
3. Mwisho ni kundi la wasomi wa ngazi ya shahada/ stashahada nk ambao baada ya kuhitimu masomo yao wangependa kujiunga na jeshi.
4. Walioenda jkt kisha muda wao ukaisha wakarudi mtaani.
Kukaa kwenu kimya ni kuyanyima makundi yote hayo fursa.
Pamoja na kwamba kuna vijana kwenye kambi mbalimbali za JKT, vijana walio mtaani nao wana haki na ndo wengi zaidi.
Tangazeni ajira kisha iwepo free and fair competition.
Hata hivyo kama utaratibu wenu wa ajira umebadila muujulishe uma kuliko kukaa kimya.
Jenerali Venance Mabeyo na timu yako naamini kuwa nyie ni weledi na mtalifanyia kazi hili.
Usiangaike watu washasepa kozi kitaamboTupo wengi tunao subiri hizo ajira, watu tukapigike pale RTS na oljoro.. Watu tuvae baka,
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
TayrKwani nafasi hizo bado?
Duuh.! kumbe walishachukua vijana kimya kimya co poaHivi tunavyoongea nikwamba tayar vijana washachukuliwa mwaka huu kwenda kupiga kozi ya tpdf, wao wamechukua vijana mojakwamoja kutoka vikosi vyoote vya jkt, na wale walojenga ikuru wamesepa ko saiz wanatumikia uzarendo tu, ko ionafasi ishakupita
Mambo yanaenda kwa michongo sioInawezekana hizi nafasi za jeshi watu walishaitwa kimya kimya,maana mchepuko wangu ananiambia kuwa kaka yake amekimbia/ametoroka kwenye mafunzo ya JWTZ huko tanga tarehe 4/1/2022 na amefikia kwa ndugu yake aliyepo DSM akiwa hoi.Baba wa mchepuko wangu ni mwanajeshi mwenye cheo hivyo alimfanyia mpango mwanae huyo ili naye avae baka baka kama yeye
Wenzako wanawaza kupata Kazi BoT,TRA, Ewura ww unawaza kuwa Askari
Halafu polisi wawatese Kama wale makomadoo wa mbowe.Tupo wengi tunao subiri hizo ajira, watu tukapigike pale RTS na oljoro.. Watu tuvae baka,
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Duuh.! kumbe walishachukua vijana kimya kimya co poa
Huo niliokwambia ndio ukweli.Acha dhihaka isiokuwa na Maana wewe.....
Kama huna la kuongea piga kimya
Kwamba anabisha anazani jeshini utaingia Kama chooni, ahaaaHuo niliokwambia ndio ukweli.
Ahaaa ebu acha utani bana, hivi ushapiga kozi ya tpdf pale rts kihangaiko? Askwambiie mtu bakabaka ni kitu kingine nilitaka kufa kipindi Cha 6 week, (ikumbukwe tu kwamba bakabaka sio dera)Unaferi, Hayo majeshi , nimezaliwa nayo, na watu tumekunywa maji ya bendera..
Jeshi alinaga formula rafki saiz watu washachukuliwa kitaambo wanapiga kozi uko ko ndoivo ukitaka kozi ya tpdf nenda kwanza jkt ukale jaramba la waliWatangaze ajira kwanza
Inawezekana hizi nafasi za jeshi watu walishaitwa kimya kimya,maana mchepuko wangu ananiambia kuwa kaka yake amekimbia/ametoroka kwenye mafunzo ya JWTZ huko tanga tarehe 4/1/2022 na amefikia kwa ndugu yake aliyepo DSM akiwa hoi.Baba wa mchepuko wangu ni mwanajeshi mwenye cheo hivyo alimfanyia mpango mwanae huyo ili naye avae baka baka kama yeye
[/QUOkamb
Huo ndo ukwel JW usaili wao wamefanyia kwny makambi ya jkt