Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 905
- 1,410
mjinga huyoAcha dhihaka isiokuwa na Maana wewe.....
Kama huna la kuongea piga kimya
mjinga huyoAcha dhihaka isiokuwa na Maana wewe.....
Kama huna la kuongea piga kimya
kuna bog lingineUsiangaike watu washasepa kozi kitaambo
Wakitangaza unistueKwanza niwapongeze kwa kazi nzuri sana mnayofanya, kwangu nyie ndo taasisi bora zaidi Tanzania hii.
Nikija kwenye mada, lini mtatangaza ajira ?
Mwaka uliopita 2021 walianza Polisi, wakaja Magereza, kisha Uhamiaji na mwisho Zimamoto.
Mwaka huu (2022) mwanzoni Uhamiaji wakatangaza tena.
Kulikoni JWTZ? Mbona kimya.
Kwa unyenyekevu kabisa naomba kuwajulisha kuwa kuna vijana wengi mtaani katika makundi tofautitofauti ambao wanasifa za kujiunga na jeshi.
1. Wapo ambao wamemaliza kidato cha nne ambao hawajabahatika kwenda JKT ila sifa zote wanazo.
2. Wapo waliomaliza kidato cha sita ila hawakubahatika kuchaguliwa jkt kwa mujibu wa sheria kwa sababu ya ukosefu wa nafasi makambini ila wana sifa na moyo wa kulitumikia jeshi letu.
3. Mwisho ni kundi la wasomi wa ngazi ya shahada/ stashahada nk ambao baada ya kuhitimu masomo yao wangependa kujiunga na jeshi.
4. Walioenda jkt kisha muda wao ukaisha wakarudi mtaani.
Kukaa kwenu kimya ni kuyanyima makundi yote hayo fursa.
Pamoja na kwamba kuna vijana kwenye kambi mbalimbali za JKT, vijana walio mtaani nao wana haki na ndo wengi zaidi.
Tangazeni ajira kisha iwepo free and fair competition.
Hata hivyo kama utaratibu wenu wa ajira umebadila muujulishe uma kuliko kukaa kimya.
Jenerali Venance Mabeyo na timu yako naamini kuwa nyie ni weledi na mtalifanyia kazi hili.
ivi kwa waliochukuliwa sasa ivi ni wanapiga kozi rts kihangaiko tu au na oljoro pia wapo..?Ahaaa ebu acha utani bana, hivi ushapiga kozi ya tpdf pale rts kihangaiko? Askwambiie mtu bakabaka ni kitu kingine nilitaka kufa kipindi Cha 6 week, (ikumbukwe tu kwamba bakabaka sio dera)
Oooh! Safi sana kama ulishapitia JKT kwako itakuwa kama kumsukuma mlevi, kumbe show nzima unaijua basi wewe sio mzalendo tena tayari ni Askari, kinachotakiwa ni kufanya refresher course ya TPDF, upewe kitenge chako uendelee na majukumu Kikosini.Mkuu, naelewa , nilikuwa huko jkt, tena nilikuwa RP, mpaka pale RTS niliwahi kwenda , ila sikufanikiwa kupiga kozi, kwahyo show nzima naelewa.. najua baka baka, hulipati kirahisi..
Kuna mtu alikuwa analeta ligi oooh! usitishe watu hayo ni mafunzo ya utimamu, haya sasa mfano huo hapo wa huyo Kuruti aliyelala mbele.Inawezekana hizi nafasi za jeshi watu walishaitwa kimya kimya,maana mchepuko wangu ananiambia kuwa kaka yake amekimbia/ametoroka kwenye mafunzo ya JWTZ huko tanga tarehe 4/1/2022 na amefikia kwa ndugu yake aliyepo DSM akiwa hoi.Baba wa mchepuko wangu ni mwanajeshi mwenye cheo hivyo alimfanyia mpango mwanae huyo ili naye avae baka baka kama yeye
Waambie bhana wanafikiri baka unachukua tu kama mtumba wa big brother, kuna kijamaa kinasema oooh! hayo ni mafunzo ya utimamu tu usitishe watu. Wewe ni mtu wa pili kutoa ushuhuda ngondo ilivyo.Ahaaa ebu acha utani bana, hivi ushapiga kozi ya tpdf pale rts kihangaiko? Askwambiie mtu bakabaka ni kitu kingine nilitaka kufa kipindi Cha 6 week, (ikumbukwe tu kwamba bakabaka sio dera)
Vigezo vyao vya ufundi rangi na bomba ndio tatizo!! Eti kila jeshi sasa linataka liwe la uzalishajiTupo wengi tunao subiri hizo ajira, watu tukapigike pale RTS na oljoro.. Watu tuvae baka,
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Wapo wapi niende tuma maombiVigezo vyao vya ufundi rangi na bomba ndio tatizo!! Eti kila jeshi sasa linataka liwe la uzalishaji
Acha kupotosha watujuzi bagamoyo walifunga mafunzo,....
We jamaa unapenda kujikubali kupitiliza [emoji23]Namwomba tu CDF Jenerali Mabeyo amuidhinishe rasmi huyu Luteni Kanali Gervas Ilonda awe Mkuu ( Mkuregenzi ) rasmi wa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa JWTZ na asiendelee tena Kukaimu kwani ameshaonyesha Uwezo na ukiona hadi GENTAMYCINE nakukubali jua hata Malaika wa Mbinguni akina Mikaela na Gabriel nao kwa Niaba ya Mwenyezi Mungu wamekubali ( wamekukubali ) pia.
Watuambie tu tunafanyajeWapo wapi niende tuma maombi
Jamaa analeta zile za kizamani za kutishana, kifo kipo mahala popote na mafunzo ya ukakamavu ni kwa mtu yoyote aliye timamu kiafya na kiakili, story za zamani kweliAcha uongo wa vijiweni mafunzo yanayo tolewa ni mafunzo ya ukakamavu na medani za kivita biashara za kutishia watu vifo kila wakitaka kujiunga na jeshi huo ni ushamba wa kizamani, hakuna anae uwawa mafunzoni
Na wala hakuna alie wahi kulaumiwa kisa mtu kafa kwenye mafunzo kifo kinatokea ukiwa sehem yoyote
Watu wakionyesha nia ya kujiunga na jeshi wanajitokeza watu wachache waliolishwa na kukaririshwa vitu vya uongo wanaanza kutishia watu vifo.Jamaa analeta zile za kizamani za kutishana, kifo kipo mahala popote na mafunzo ya ukakamavu ni kwa mtu yoyote aliye timamu kiafya na kiakili, story za zamani kweli
Inakuumiza au Kukutesa sana tu? Pole!!!We jamaa unapenda kujikubali kupitiliza [emoji23]