Jwtz kusitisha kuajili graduates kwa muda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jwtz kusitisha kuajili graduates kwa muda

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwakitobile, Oct 6, 2012.

 1. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Source:chanzo cha ndani jwtz-utawala(HQ-Upanga) Kwa mujibu wa chanzo husika hapo juu,napenda kuwafahamisha wale ndugu zangu wote ambao kwa muda mrefu sasa,wanahangaika kupata taarifa huku wakisubiri kwa hamu kubwa kujiunga na Jwtz.Kuwa kutokana na mabadiliko ya kimfumo na kimkakati jeshi linasitisha kwa muda recruitment kwa profesional graduates,na sasa linajikita zaidi kuwaendeleza askari wa ndani hasa kielimu,ili kuweza kushika nafasi mbalimbali za kitaalam jeshini,kwani inaonekana hawa ndiyo wana uzalendo wa kweli tofauti na graduates ambao wengi wao,wanaingia jeshini kupata vyeo na maslahi makubwa
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,358
  Likes Received: 2,988
  Trophy Points: 280
  Huo ndiyo ukweli wenyewe.
   
 3. P

  PJS Senior Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa wafanye hvyo.
   
 4. Davesto

  Davesto JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  kweli!
   
 5. Davesto

  Davesto JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  uzalendo ndio hupimwaga hivyo mzee?
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ni wazo zuri maana siku hizi huko wanaingizwa watoto wa wakubwa serikalini na kupewa vyeo huku wakiwa hawana uzalendo na nchi yao.
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ngoja nikaforge cheti changu cha uzaliwa!
   
 8. kikaragosi

  kikaragosi Senior Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed: BORA NINGEKWENDA POLISI,HAPO IMEKULA KWANGU
   
 9. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Ni mkakati maalumu, wala suala hapa siyo uzalendo wa graduates. Sikumbuki ni mwaka gani ilikuwa ila, waziri wa mambo ya nje wa china alimweleza rais wake kuwa mpango wa kupeleka watu wao (wachina) nje kusoma ulikuwa siyo mzuri kwani katika watu 100, ishirini tu ndiyo waliweza kurudi baada ya kuhitimu. Lakini cha ajabu, yule rais alimwambia, ili warudi wengi inabidi idadi iongozeke mara kumi. Basi wachina waliongezwa kwenda nje na wengi wao walifikia hatua wakawa wanarudi.
  Nachotaka kusema hapa, idadi ya graduate kwenye jeshi letu ni ndogo mno, na kama inshu ni uzalendo mi naona siyo sababu!! JWTZ waongeze udahili wa magraduate ili jeshi liwe kisasa zaidi. Vinginevyo nionavyo mie ni kuwa watoto wa wakubwa wameshajaa basi wanasubiri kupeana vyeo. Na ili hilo lifanikiwe, basi graduate zaidi wasiajiriwe.
   
 10. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Terrific season
   
 11. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Najua waweza kuwa ni mmoja waliokuwa na nia ya kwenda huko,basi hakijaharibika kitu nakushauri anzia kwanza kuomba jkt kama wewe ni mzalendo kweli,pia futa kauli yako ya kusema jeshi lina wasomi wachache,amini kuna program maalum ya kuwaendeleza askari kitaaluma,nje na ndani ya nchi,kauli mbiu ya jeshi kwa sasa ni "kuwa na jeshi dogo la kisasa" hasa katika vitendea kazi vya ulinzi na usalama
   
 12. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kwa elimu ya kuunga unga ndugu yangu tutaendelea kuwa tegemezi, kumbuka technolojia nyingi huanzia jeshini kwenye nchi zilizoendelea. Sasa unaposema waliopo waendelezwe kwanza ni sawa na kuanza kujivuta tulipo kurudi nyuma. Angalia pia nchi nyingi zilizoendelea walivyowekeza kwenye jeshi!! its not about creating a small defence arm force eti la kisasa bila kuajiri graduate wa kutosha. Anyway, Labda hii habari siyo ya kweli hapo.
   
 13. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Top 10 Most Powerful Countries - YouTube
  Huwezi kujilinda basi endelea kuwa mteja wa hizi nchi. Ziwa malawi tu limewapeleka viongozi wote canada. Hizi malighafi zilizopo siyo kuwa viongozi wanapenda kuzigawa, lakini hawana hatuna uwezo tena wa kuzilinda kwa sababu ya military power ndogo, ukinunua kifaa cha kijeshi kutoka hawa jamaa, wanakuja wanachungulia hadi uvunguni. Utaona Mchina, Mmarekani, Muingereza kila kona anajifanya kutembelea kambi zetu. Angalia kiwanda chetu cha magari, nanni aturuhusu tutengeneze massive car ili wao wakose soko la magari yao, Lol.
   
 14. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
 15. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
 16. peri

  peri JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kwa hili jwtz litaendelea kuwa nyuma, kwanza uzalendo haupimwi hivyo.
  Pili ni vigumu kuwaendeleza waliopo coz mfn kama mtu aliingia akiwa kamaliza form 6 au 4 kuna uwezekano mkubwa kuwa alifeli, mnamuendelezaje mtu kama huyo?
  Pili huwezi kupeleka wanajeshi wengi kwa wakati mmoja masomoni, itabidi waende kidogo kidogo na kusoma kunachtkua muda mfn miaka 3 au zaidi, mpaka waloenda warudi ndo waende wengine.
  Kwa namna hiyo ni lini jeshi litakuwa na wasomi wa kutosha?
  Itachukua zaidi ya miaka kumi.
  Wao wangefanya kama polisi, mnawaajiri graduats lakini waanze vyeo vya chini ila kuwalipa muwalipe kwa mujibu wa elimu zao.

  Wenzao polisi wameanza kufanya hivyo, mwaka huu pekee wanaajiri wasomi takriban 500 wa ngazi za cheti, diploma na bachela takriban 200.
   
 17. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
 18. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Na ndiyo point mkuu, kuna ndugu yangu huwa anasema kabisa vijana wengi wanaoajiriwa wenye elimu wanasumbua wazee kwa kuwa hawa wazee wengi wako nyuma ya mambo, hawajui mambo mengi!! vijana hawaogopi kuhoji wwakiona mambo sivyo! lakini pia askari wengi walishakuwa wakubwa kiumri, sasa ku-mtrain mtu kama huyo inahitaji moyo. Sana sana ni kuwapeleka shule ili waendelee kuwa watiifu kwa mambo ya kijinga, pia kuwafanya wapate kiinua mgongo angalau cha maana lakini si kwa ajili ya ufanisi wa National Defence.
   
 19. THE GREAT CAMP

  THE GREAT CAMP JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 767
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru kwa taarifa. Lakini je umetumwa kutoa hizo habari za ndani ya jeshi?
   
 20. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jeshi letu kwa mwendo huu litaendelelea kua la watalam wa kupasua mawe kwa kichwa pale taifa
   
Loading...