Source:chanzo cha ndani jwtz-utawala(HQ-Upanga) Kwa mujibu wa chanzo husika hapo juu,napenda kuwafahamisha wale ndugu zangu wote ambao kwa muda mrefu sasa,wanahangaika kupata taarifa huku wakisubiri kwa hamu kubwa kujiunga na Jwtz.Kuwa kutokana na mabadiliko ya kimfumo na kimkakati jeshi linasitisha kwa muda recruitment kwa profesional graduates,na sasa linajikita zaidi kuwaendeleza askari wa ndani hasa kielimu,ili kuweza kushika nafasi mbalimbali za kitaalam jeshini,kwani inaonekana hawa ndiyo wana uzalendo wa kweli tofauti na graduates ambao wengi wao,wanaingia jeshini kupata vyeo na maslahi makubwa
Tunashukuru kwa taarifa. Lakini je umetumwa kutoa hizo habari za ndani ya jeshi?
maslahi yapi makubwa?tufafanulie. graduate anaaza na uluteni na daktari ucaptain. tofauti ya mishahara ipoje na serikalini au sekta binafsi?
Mkuu uliyeleta uzi. Sio kila unaloambiwa na watu wa HQ unaamini. Nafasi kutolewa kipindi hiki ni vigumu, 7bu kunamambo ya bajeti hayajakaa vizuri kabisaaaa, even kunahata baadhi ya madai bado serikari haijayaweka sawa kwenye jeshi. So hicho unachosema hakina uhusiano kabisa. WENGINE WANATOKA WENGINE WANAINGIA.
Mimi hii taarifa imeni'disappoint sana, nadhani kitendo cha watu kupeleka maombi makao makuu kumesababisha!
Sikiliza anko,suala siyo kutangaza nafasi tu,kitu cha msingi unachotakiwa ujiulize wewe,ni je hata kama nafasi hizo zingetolewa unge comply na vigezo vinavyotakiwa,kwani vigezo siyo kuwa na shahada tu.
Mimi ni kamanda nina nyota tatu huyu mleta mada kadanganywa, mambo yapo hivii jeshi linajikita kuchukua formfour wengii kuliko wenye degree hii ni kwamba hao wenye degree mara wapatapo kazi huwa maofisa nikimaanisha nyota moja kwenda juu,wakati hawa formfour hawapewi cheo ,suala ni kwamba watendaji ni formfour na hawa magraduate ni maofisa tu
Mwaki usilete ubishi, sio kila unachojibiwa na mtu wamakao ndio unakiamini hapohapo. Hata sisi tunao watu wanaotupa taarifa hata kama jeshi linataka kununua CHOPER. Hapa lengo ni kuwasaidia watu. Wengine wiki kadhaa wameleta ubishi humu wakajikuta wanakurupuka kuapply kazi bila tangazo. Na wengine wamedanganywa watoe laki 3 ili wapate nafasi. Hivi ni vitu ambavyo vimefanywa na wafanyakazi haohao wa makao. Wengi hujifanya wanajua sana kipindi hiki, haswa hao vijana wa nyota 2 na 3 waliopangiwa makao. Kaa na wakongwe wakuambie mambo yalivyo.
Mimi ni chanzo cha ndani pia,hVery impossible rely kwa walio ndani kwani wengi ni vilaza na wengi wao walifoji vyeti-Nakanusha!
Fresh recruits wana nafasi zao na wakongwe wana mipaka yao,counts on me utaskia ads za professionals km kawaida-
kp going bros n sisterz!