Kak umemaliza shule au hukumaliza uliangalia parade ya Iran.walitumia rifle mbaya kuliko hzo lakn mmarekan akivamia mipaka yake anakutana na rifle ambaxo hakudhania ni sawa sawa na tz tuko confidential.
Nimekupa swali limekujibu unaruka ruka una war experience ww na je Umeshinda how many wars.bas nalala utakua ukiendesha mjadala by urself.
Nilishangaa hili lijamaa linanukuu komenti moja Mara ishirini limetokea wapi na sikuliacha humu.
Shukuru Mola kwa kuwa unaishi na wazazi wako ambao wanakulisha. Kazi yako kutapika tu mitandaoni. Maisha ni mafupi sana. Acha kueneza chuki.wakenya wamekukosea wewe mlaji wa viwavi na kaa wa ziwa Malawi?
Tz haijawin any modern war and don't have any experience.

Kenya empowers women more. I once say a female track driver.Kenya Defense Forces - Women serving as Fighter pilots, Captains, Engineering in the forces.
Hizi bunduki huwa zinatumika kwenye sherehe .Look at the type of rifles your men has[emoji23][emoji23][emoji23]. Nikisema jeshi la Tz ni maskini mnaona vibaya [emoji23][emoji23]View attachment 1109028View attachment 1109029
Sioni vile Kapinga atasema kuwa Jeshi lake ni weak mbele ya vyombo vya habari, hiyo ni kujidhalilisha ila Jeshi lenu ni ovyo tu...kumbuka panga Boyz.Meja generali Alifred Kapinga umesikia alichokisema?
Tanzania ni moj kati ya majeshi imara duniani, ameongea mbele ya vyombo vya habari nadhani na nyie wakenya mmesikia.
Malizeni operation yenu isiyoisha huko Somalia, maana Al shabab wanawapiga nje ndani, mpaka amerika aje kuwapa msaada.
Sijakuelewa mkuu ilhali niko tz kigamboni au tz gani waitaka ww ya kibera slums au
[/QUOTE
SASA KIGAMBONI UNAONA NINI HAPO?; BADO HUJAIJUA TANZANIA WEWE, !
Sasa total ni ngapi
Hahahahaha, bado unaturudishia F-5 second generation?, hizi zilishapitwa na wakati, sasa hivi tupo fourth and fifth generation. Tanzania sasa hivi tupo na third generation, huwezi kushindanisha ni second generation, ni level mbili tofauti kabisa
Kama sio umaskini ni nini?Hahahahaha, bado unaturudishia F-5 second generation?, hizi zilishapitwa na wakati, sasa hivi tupo fourth and fifth generation. Tanzania sasa hivi tupo na third generation, huwezi kushindanisha ni second generation, ni level mbili tofauti kabisa
Tafadhali sana usilete tena second generation fighter jets, sisi tunazo Mig 21 second generation sawa na hizo zenu F-5, lakini tumeziweka kama maonyesho, hatutumii tena second generation ni old model, hazitumiki tena hizo.