JWTZ, KDF: Wanawake kazini

Kama hawa sijui hapa Kenya tunaeza waita aje
 
Kenya is trong everywhere. Land, air and water.
 
Nadhan ww mtu mzma unaelewa kiswahili nitajie vita ulioshinda km ww unajiweza km umeshindwa kulinda mipaka yako alshabaab wakaingia kvp ujiaminishe kwa watu una jeshi imara je ingekua jeshi la taifa lingine limekuvamia si ungekuwa colonized kabisa
Hahaha! 😀 Watu wanajivunia kwamba wanajeshi wao wanavunja matofali, ila silaha modern na vifaa vya kivita vya Kenya ni show off. Wabongo bana. [emoji38]
 
Nadhan ww mtu mzma unaelewa kiswahili nitajie vita ulioshinda km ww unajiweza km umeshindwa kulinda mipaka yako alshabaab wakaingia kvp ujiaminishe kwa watu una jeshi imara je ingekua jeshi la taifa lingine limekuvamia si ungekuwa colonized kabisa
Boss, KDF imeona action na ikashinda, kando na vita vya sasa dhidi ya ugaidi na mission za U.N. hadi nje ya bara hili. Ulizia kuhusu Shifta War ya 1960s kati ya Kenya na waasi ambao walikuwa wanadhaminiwa na Somalia. Alafu unafananisha ugaidi na vita vya kawaida? Wewe kweli ni kiazi.
 
Nadhan ww mtu mzma unaelewa kiswahili nitajie vita ulioshinda km ww unajiweza km umeshindwa kulinda mipaka yako alshabaab wakaingia kvp ujiaminishe kwa watu una jeshi imara je ingekua jeshi la taifa lingine limekuvamia si ungekuwa colonized kabisa
Remember USA 2001? Al quaida bombed New York and Washington DC killing 3000+ civilians. Remember France in 2017? ISIS bombed Paris killing large number of people. So Kenya should be no exemption.
 
Watakuambia Kenyan forces wanatrainiwa na whites [emoji23][emoji23]
 
Unaropoka huongei km Wafanya kaz wa tz choka,mbaya mbona nyie ndio mnaongoza kulala nyumba za kupanga
Eti wanaongoza nini? Leta takwimu, kama ni kuhusu wafanyakazi wa umma kupanga ni kwasababu wanakuwa posted wakafanye kazi mbali na kwao nyumbani. Unataka tulinganishe mishahara na allowances za wafanyakazi wa umma wa Kenya na Tz? Utaona aibu jombaa!
 
Kapambane na njaa za turkana usijifananishe na life letu sawa
We km mwanaume kweli ungelinda mipaka yako alshabaab asiingie nahc akili yako haijapevuka ww.
Eti wanaongoza nini? Leta takwimu, kama ni kuhusu wafanyakazi wa umma kupanga ni kwasababu wanakuwa posted wakafanye kazi mbali na kwao nyumbani. Unataka tulinganishe mishahara na allowances za wafanyakazi wa umma wa Kenya na Tz? Utaona aibu jombaa!
 
Ungekua mna maisha bora msingeshindia sukuma week.daily na kuweka appointment had ktk kutembeleana majumban
Eti wanaongoza nini? Leta takwimu, kama ni kuhusu wafanyakazi wa umma kupanga ni kwasababu wanakuwa posted wakafanye kazi mbali na kwao nyumbani. Unataka tulinganishe mishahara na allowances za wafanyakazi wa umma wa Kenya na Tz? Utaona aibu jombaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…