JWTZ, KDF: Wanawake kazini

Kuku ww mtu unapokuwa umeishiwa silaha maybe wafaa tumia martial law km hyo kuipata kwa adui yako ndio maana alshabaab wanawakeketa nje ndan
Sasa mwenye ako na bazuka utamwendea kwa mkono ati juu umeivia boxing? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo jamaa amedelete that pic because of your critic [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti huyu naye ni mkenya!!! Yaani Kenya ukikosa lishe tu wanakugeuza kuwa comedian.

#Njugush.

#E. Omondi.
 
Huyo jamaa amedelete that pic because of your critic [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha! 😀 Watu wanajivunia kwamba wanajeshi wao wanavunja matofali, ila silaha modern na vifaa vya kivita vya Kenya ni show off. Wabongo bana. [emoji38]
 
KK security wanavaa vizuri kuliko polisi wenu[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
KK security wanavaa vizuri kuliko polisi wenu[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1108917View attachment 1108919
Boss hakuna mtu ambaye huwa ame'kaukiwa' na 'kurarukiwa' kama mfanyakazi wa umma Tz. Magwanda ya JWTZ na jeshi la polisi huwa yameisha yameparapara, wengine hawana boots huwa wanavaa gumboots za mvua. Alafu sura ndio usiseme, yaani jamaa huwa wamekata tamaa kabisa na hali zao za kikazi. Kila wakati wamenuna zaidi ya mabushmen jangwani wakiwinda nungunungu.
 
Unaropoka huongei km Wafanya kaz wa tz choka,mbaya mbona nyie ndio mnaongoza kulala nyumba za kupanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…