D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,178
Yaani ukapige picha eneo la jeshi halafu ukipigwa unalalamika, hujui kuwa inaathiri kiusalamaDunia ina satellite wao wapo busy kupiga raia wao wanaopiga picha bila kujua maeneo yao ni ujinga tuu Jeshi wanatakiwa wabadilike sana wana Ujinga mwingi upo vichwani mwao...