Kifupi ni kwamba...You can not trust anyone on the war zone or Battlefield na kingine civilians are typically not allowed to directly provide food to troops in a war zone.
kuhusu supply Ya food na Other stuffs provisions to military forces Lazima iwe organised na military chain of command, Lengo ni kuprovide security Isije ikawa ndani kumewekwa vitu visivyoeleweka, na pia huzingatia logistics, na proper distribution Kwa sababu wapo wenye uhitaji zaidi kuliko wengine hivyo wao ndo wanajua nani anauhitaji au hana....
Kama Raia atataka kutoa support kwa anatakiwa apeleke kwenye mashirika ya humanitarian organizations au government agencies ambayo yanahusika kwenye relief efforts.
Na mashirika hayo baada ya kupokea Chakula au msaada huo watapeleka kwenye Millitary chain of command iliyo sawa ili kufanya kuwe Distributed..
Direct, unauthorized involvement Sijui kama kuna Jeshi linaruhusu Maybe hao wameruhusu kwa ajili ya malengo fulani na nahisi ni Kwa publicity baada ya kuonekana Wanajeshi wa Hamas wanakosa baadhi ya support kwa Raia