Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,190
- 4,269
Tatizo lao wanajiona wako juu ya sheriaKabisa asee.sema wao ndo wanayataka haya yote
Tatizo lao wanajiona wako juu ya sheriaKabisa asee.sema wao ndo wanayataka haya yote
Kheeeewanajeshi wa kibongo ni nux aisee, naskia Genta a.k.a popoma tukuka walimkata sikio kule kawe...
Yamkini nikweli maana alilalamika sana[emoji23]wanajeshi wa kibongo ni nux aisee, naskia Genta a.k.a popoma tukuka walimkata sikio kule kawe...
Wanavunja sana SheriaTatizo lao wanajiona wako juu ya sheria
KabisaWanavunja sana Sheria
Mkuu wewe ndio mjinga wa kiwango Cha lami!Kumchukia mwanaume mpambanaji ni ujinga mtu anayekulinda hujui hata kufungua na kufunga SMG.
Una amani mpaka ya kupost humu hujui ni kiasi gani watu wana risk maisha yao kwa ajili yako.
Binadamu wote tuna mapungufu ieleweke hivyo na kwenye kazi yeyote lazima kuwepo na watu wenye tabia za kibinafsi hata shuleni kuna walimu walevi, Wanaopenda kuchapa, wapenda ngono.
Mwanajeshi anaapa kuilinda nchi, kumtumikia Mheshimiwa Rais na Kulinda katiba, Jeshi ni Force sio taasisi hivyo ili kutekeleza hayo kuna wakati lazima nguvu itumike.
Ndio maana huwezi kuona Wanajeshi wakiumiza Majority ya wananchi wao maana wanajua Wazi jukumu lao ni kuwalinda lakini kuna baadhi ya raia either kwa kutumika na watu wasio na nia njema kwa Taifa na jeshi letu, au kwa kupenda sifa na Umaarufu huwa wanaenda kinyume na vipengele vya kikatiba hapo enforcement lazima itumike hatuwezi kuwa na Taifa la wavunja sheria na kanuni kwa kisingizio cha kuja kudai unaonewa.
Mtawasema wanajeshi vibaya lakini lazima mtafakari pia kazi ngumu, hatarishi wanazozifanya kwa ajili yako.
Unaakili sana, barikiwa…. ✊🏾Hayo mambo yalishapitwa na wakati mkuu, siku hizi majeshi hayaoperate hivyo tena.
Yani jeshi liende sehemu likitegemea kupata taarifa kwa raia? Kuna njia nyingi advanced siku hizi.
Halafu hao raia hapo ktk video watajuana vipi barabarani? Kila raia anatoka upande wake ktk gari unasema ni salama?
Sio salama na ni hatari kuliko unavyodhani.
Sidhani kama hao wanajeshi walikosa umakini kwa kutumia walivyopewa.
Asante Mkuu.Unaakili sana, barikiwa…. ✊🏾
Kama hujui kutofautisha hata tofauti ya Kumlinda na kumrinda utaelewe kuhusu National defence act kweli?Mkuu wewe ndio mjinga wa kiwango Cha lami!
Wanaapa kumrinda raia na katiba ya Nchi sawa iweje haohao wanao apa kurinda wanaNchi wao wanageuka kuwapigi?hujasikia ya kawe? Mara ngapi watu wanaonewa na wanajeshi? Hpa hatupo kiushabiki bro tupo kuambiana ukweli. Wanajeshi wanaingua uraiani kupiga raia kama kwani jeshi la polisi halipo? Mahakama haipo? Unapiga Hadi wanawake na wazee! Haikubariki hata kidogo.
Hata nisielewe ila nilicho gundua huna akiri wewe.watu wanaingua uraiani kupiga raia na mtuhumiwa ameshakamatwa halafu wewe Kwa ujinga wako una support. Wee takataka kabisa. Katiba ipo na inavunjwaKama hujui kutofautisha hata tofauti ya Kumlinda na kumrinda utaelewe kuhusu National defence act kweli?
Akiri ndio nini?Hata nisielewe ila nilicho gundua huna akiri wewe.watu wanaingua uraiani kupiga raia na mtuhumiwa ameshakamatwa halafu wewe Kwa ujinga wako una support. Wee takataka kabisa. Katiba ipo na inavunjwa
Usichokijua ni kwamba 90% ya raia wa hyo nchi ambao wako 18 or above 18 year's ni wanajeshi au walishapitia jeshi so hapo ni sawa na wanajeshi kusaidia wanajeshi wenzaoBila shaka sio mara Moja,mbili au mara tatu na zaidi kuona wanajeshi wetu wakiwapiga raia wao walio apa kuwarinda Hadi tone la mwisho
Imekuwa kawaida sana Kwa mwanajeshi kupitisha mkong'oto Kwa raia na kuji mwambafai wao ndo wao wanapaswa waongopwe siku chache zilizo pita tumeshuhudia nyuzi kadhaa zikiwaongelea wanajeshi wa JWTZ kupitisha mkong'oto Kwa raia wa kawe hasa wanawake na vikongwe!
Kumbukeni raia ndio msaada wenu pekee likitokea jambo lolote. Kinyume chake mnataka kuwa adui Kwa raia.
Jifunzeni [emoji116] [emoji116] ATTACH=full]2818348[/ATTACH]
Muongooo wa kutupwa nina rafiki zangu wa Uganda walikuwa hawapendi kabisa mpaka lugha ya kiswahili haipendi wanasema hii ndio ilokuwa ikitumika vitani kuwaua waganda hayo maneno ni ya waganda wenyewe.Historia ya vita Tz na ug ushaifatilia jinsi raia wa Uganda walivyo wasapoti jtz?
Hii clip inafuzo kubwa sana elewa ya kwamba raia ndo tunajuana sana kuliko hao wanajeshi mwanajeshi mwenyew anategemea raia Ili aweze kubaini uhalifu Kwa raia kutoa taarifa. Hivyo kama Kuna mgeni hapo Ambae hatambuliki sehem husika raia hao sio wajinga wakubali mheni ahudumie wanajeshi wao. Ni ngumu kuelewa lkn kama unaishi vzr na raia hata huhofii kitu chochote na wakiamua kukuua ni dk 0 tu maana huduma zote zinatoka uraiani