JWTZ jifunzeni Kupitia clip hii

JWTZ jifunzeni Kupitia clip hii

Kitendo kinachofanyika ktk video ni chema na hakika kinapendeza na kuleta fundisho.

Ila sidhani kama ni salama sana hasa kwa vikosi ambavyo vipo vitani. Adui anaweza kujipenyeza ktk aina nyingi hatari hasa vyakula kama hivyo tunavyoona hapo.

Sidhani kama kuna la kujifunza hapo, labda ingekuwa video ya mwanajeshi aliyejeruhiwa akipatiwa matibabu na raia au vinginevyo.
Njia ya chakula & maji sio ya kujifunzia, ni hatari zaidi.
Ni hatari kama jeshi limejenga uadui na jamii😀 ila kama jeshi linapendwa na raia hakuna shida
 
Hayo mambo yalishapitwa na wakati mkuu, siku hizi majeshi hayaoperate hivyo tena.

Yani jeshi liende sehemu likitegemea kupata taarifa kwa raia? Kuna njia nyingi advanced siku hizi.

Halafu hao raia hapo ktk video watajuana vipi barabarani? Kila raia anatoka upande wake ktk gari unasema ni salama?
Sio salama na ni hatari kuliko unavyodhani.

Sidhani kama hao wanajeshi walikosa umakini kwa kutumia walivyopewa.
Naomba unijibu hili...Kwa raia wa kawe waliopigwa na JWTZ je wanaweza toa ushirikiano wowote hata Nje ya vita hata ushirikiano Kwa wakijamii yaani wakawa sawa sawia kabisa?

Kwa hiyo kama Kuna njia nzuri za kisasa tofauti na zamani basi ni halali mwanajeshi kumpiga raia ? Sheria inasemaje?
 
Uko sahihi sana. But, as far as IDF is concerned those rations were already vetted.
 
Ni hatari kama jeshi limejenga uadui na jamii😀 ila kama jeshi linapendwa na raia hakuna shida
Sijui naongea vitu vikubwa imekuwa ngumu kunielewa?

Sijapinga, na nimesema ni kitu kinachopendeza kabisa.

Lakini jeshi liko vitani wakati ambao adui nae anatumia kila namna kuwaangamiza unapokea vipi vyakula & maji kutoka kwa raia?
Ukiamini unapendwa na raia ukajiachia adui anapitia hapohapo.
 
In case unaishi vibaya na raia utakuwa kwenye risk kubwa
 
Kitendo kinachofanyika ktk video ni chema na hakika kinapendeza na kuleta fundisho.

Ila sidhani kama ni salama sana hasa kwa vikosi ambavyo vipo vitani. Adui anaweza kujipenyeza ktk aina nyingi hatari hasa vyakula kama hivyo tunavyoona hapo.

Sidhani kama kuna la kujifunza hapo, labda ingekuwa video ya mwanajeshi aliyejeruhiwa akipatiwa matibabu na raia au vinginevyo.
Njia ya chakula & maji sio ya kujifunzia, ni hatari zaidi.
Unalosema ni saw , hata wao wanapma MAZINGIRA yao kwa ujumla , kundi lote haliwez kuw ni adui kiurahis

Kwa ujumla atakama wanapokea wanawez kutotumia lakn swala la upendo na ushirikiano limeonyeshwa kwa 100%
 
Naomba unijibu hili...Kwa raia wa kawe waliopigwa na JWTZ je wanaweza toa ushirikiano wowote hata Nje ya vita hata ushirikiano Kwa wakijamii yaani wakawa sawa sawia kabisa?

Kwa hiyo kama Kuna njia nzuri za kisasa tofauti na zamani basi ni halali mwanajeshi kumpiga raia ? Sheria inasemaje?
Sasa mkuu mambo ya kupiga raia nani ataunga mkono?

Hoja yangu haiko huko, na siungi mkono unyanyasaji wa raia.
 
Kwann mkuu toa maelezo

Kifupi ni kwamba...You can not trust anyone on the war zone or Battlefield na kingine civilians are typically not allowed to directly provide food to troops in a war zone.
kuhusu supply Ya food na Other stuffs provisions to military forces Lazima iwe organised na military chain of command, Lengo ni kuprovide security Isije ikawa ndani kumewekwa vitu visivyoeleweka, na pia huzingatia logistics, na proper distribution Kwa sababu wapo wenye uhitaji zaidi kuliko wengine hivyo wao ndo wanajua nani anauhitaji au hana....

Kama Raia atataka kutoa support kwa anatakiwa apeleke kwenye mashirika ya humanitarian organizations au government agencies ambayo yanahusika kwenye relief efforts.
Na mashirika hayo baada ya kupokea Chakula au msaada huo watapeleka kwenye Millitary chain of command iliyo sawa ili kufanya kuwe Distributed..

Direct, unauthorized involvement Sijui kama kuna Jeshi linaruhusu Maybe hao wameruhusu kwa ajili ya malengo fulani na nahisi ni Kwa publicity baada ya kuonekana Wanajeshi wa Hamas wanakosa baadhi ya support kwa Raia
 
Hayo mambo yalishapitwa na wakati mkuu, siku hizi majeshi hayaoperate hivyo tena.

Yani jeshi liende sehemu likitegemea kupata taarifa kwa raia? Kuna njia nyingi advanced siku hizi.

Halafu hao raia hapo ktk video watajuana vipi barabarani? Kila raia anatoka upande wake ktk gari unasema ni salama?
Sio salama na ni hatari kuliko unavyodhani.

Sidhani kama hao wanajeshi walikosa umakini kwa kutumia walivyopewa.
Kwahyo unazn source of information bado inachukuliwa kwa asilimia kubwa ni kutoka kwa raia kwakuw technology inalimitation zake
 
Hayo mambo yalishapitwa na wakati mkuu, siku hizi majeshi hayaoperate hivyo tena.

Yani jeshi liende sehemu likitegemea kupata taarifa kwa raia? Kuna njia nyingi advanced siku hizi.

Halafu hao raia hapo ktk video watajuana vipi barabarani? Kila raia anatoka upande wake ktk gari unasema ni salama?
Sio salama na ni hatari kuliko unavyodhani.

Sidhani kama hao wanajeshi walikosa umakini kwa kutumia walivyopewa.
Mkuu Nafikir Hiyo ilikuwa ni set up kwa ajili ya Publicity na sio Reality
 
Bila shaka sio mara Moja,mbili au mara tatu na zaidi kuona wanajeshi wetu wakiwapiga raia wao walio apa kuwarinda Hadi tone la mwisho

Imekuwa kawaida sana Kwa mwanajeshi kupitisha mkong'oto Kwa raia na kuji mwambafai wao ndo wao wanapaswa waongopwe siku chache zilizo pita tumeshuhudia nyuzi kadhaa zikiwaongelea wanajeshi wa JWTZ kupitisha mkong'oto Kwa raia wa kawe hasa wanawake na vikongwe!

Kumbukeni raia ndio msaada wenu pekee likitokea jambo lolote. Kinyume chake mnataka kuwa adui Kwa raia.

Jifunzeni [emoji116] [emoji116] ATTACH=full]2818348[/ATTACH]
Nikikuta mjeshi anavamiwa na simba, mimi nitamkatia simba kachumbari😀
 
Kitendo kinachofanyika ktk video ni chema na hakika kinapendeza na kuleta fundisho.

Ila sidhani kama ni salama sana hasa kwa vikosi ambavyo vipo vitani. Adui anaweza kujipenyeza ktk aina nyingi hatari hasa vyakula kama hivyo tunavyoona hapo.

Sidhani kama kuna la kujifunza hapo, labda ingekuwa video ya mwanajeshi aliyejeruhiwa akipatiwa matibabu na raia au vinginevyo.
Njia ya chakula & maji sio ya kujifunzia, ni hatari zaidi.
Hata huko kutibiwa anaweza kuweka sumu badala ya dawa
 
Kifupi ni kwamba...You can not trust anyone on the war zone or Battlefield na kingine civilians are typically not allowed to directly provide food to troops in a war zone.
kuhusu supply Ya food na Other stuffs provisions to military forces Lazima iwe organised na military chain of command, Lengo ni kuprovide security Isije ikawa ndani kumewekwa vitu visivyoeleweka, na pia huzingatia logistics, na proper distribution Kwa sababu wapo wenye uhitaji zaidi kuliko wengine hivyo wao ndo wanajua nani anauhitaji au hana....

Kama Raia atataka kutoa support kwa anatakiwa apeleke kwenye mashirika ya humanitarian organizations au government agencies ambayo yanahusika kwenye relief efforts.
Na mashirika hayo baada ya kupokea Chakula au msaada huo watapeleka kwenye Millitary chain of command iliyo sawa ili kufanya kuwe Distributed..

Direct, unauthorized involvement Sijui kama kuna Jeshi linaruhusu Maybe hao wameruhusu kwa ajili ya malengo fulani na nahisi ni Kwa publicity baada ya kuonekana Wanajeshi wa Hamas wanakosa baadhi ya support kwa Raia
Umeeleza vyema sana na nimekuelewa. Msingi wa clip hii ni upendo na ushirikiano ulio onyeshwa hapa! Kwa hakika Kwa jeshi letu huko tuendako itafikia ukiona mtu kavaa kombati tu unakimbia mbio kuepuka aibu inayoweza kukuta maana wanaonea sana raia.Ahsante
 
Sijui naongea vitu vikubwa imekuwa ngumu kunielewa?

Sijapinga, na nimesema ni kitu kinachopendeza kabisa.

Lakini jeshi liko vitani wakati ambao adui nae anatumia kila namna kuwaangamiza unapokea vipi vyakula & maji kutoka kwa raia?
Ukiamini unapendwa na raia ukajiachia adui anapitia hapohapo.
Hahah sawa sawa mkuu
 
Kitendo kinachofanyika ktk video ni chema na hakika kinapendeza na kuleta fundisho.

Ila sidhani kama ni salama sana hasa kwa vikosi ambavyo vipo vitani. Adui anaweza kujipenyeza ktk aina nyingi hatari hasa vyakula kama hivyo tunavyoona hapo.

Sidhani kama kuna la kujifunza hapo, labda ingekuwa video ya mwanajeshi aliyejeruhiwa akipatiwa matibabu na raia au vinginevyo.
Njia ya chakula & maji sio ya kujifunzia, ni hatari zaidi.
Basi kupitia huu uzi wako mama the bold (nimekujua)
 
Back
Top Bottom