JWTZ jifunzeni Kupitia clip hii

JWTZ jifunzeni Kupitia clip hii

In case unaishi vibaya na raia utakuwa kwenye risk kubwa
Anacho zungumzia ni kwamba adui atajichanganya na hao raia wako,akupatie hiyo misosi yenye sumu..maana ni vigumu pia raia wako kutambua kuwa huyu ni raia mwenzake ama adui. Mbona mnashindwa kuelewa jambo dogo kama hili?
 
Bila shaka sio mara Moja,mbili au mara tatu na zaidi kuona wanajeshi wetu wakiwapiga raia wao walio apa kuwarinda Hadi tone la mwisho

Imekuwa kawaida sana Kwa mwanajeshi kupitisha mkong'oto Kwa raia na kuji mwambafai wao ndo wao wanapaswa waongopwe siku chache zilizo pita tumeshuhudia nyuzi kadhaa zikiwaongelea wanajeshi wa JWTZ kupitisha mkong'oto Kwa raia wa kawe hasa wanawake na vikongwe!

Kumbukeni raia ndio msaada wenu pekee likitokea jambo lolote. Kinyume chake mnataka kuwa adui Kwa raia.

Jifunzeni [emoji116] [emoji116] ATTACH=full]2818348[/ATTACH]
Kabla hawajajenga kivuko Cha waenda kwamiguu pale kawe bondeni, nilishawahi shuhudia wanajeshi wakimrukisha kichura mtu mzima mwenye miaka kama 45-50 akiwa na watoto wake wawili kisa amekatisha eneo la jeshi,
 
Huku mtu akiwa mwanajeshi basi anataka aogopwe atukuzwe atetemekewe.
 
Hili jeshi tulilo nalo limeshindwa kabisa kuhalalisha uwepo wake kwa kukosa uzalendo.

Kwa hatua hii tuliyofikia laiti kama lingekuwa ni jeshi la kizalendo ccm wasingekuwa madarakani leo lakini kwa kuwa ni jeshi la kisiasa basi ccm wanaendelea kung'ang'ania madarakani kwa kuhujumu uchaguzi kila mara bila hofu.

Tunaona kule Afrika Magharibi jinsi wananchi wanavyowaunga mkono wanajeshi wao kwa vile wanavyoona majeshi yao yanavyopigania maslahi yao wakati sisi hapa tunaona ccm na jeshi lao wanavyonyanyasa raia completely with impunity.
 
Hao
Kifupi ni kwamba...You can not trust anyone on the war zone or Battlefield na kingine civilians are typically not allowed to directly provide food to troops in a war zone.
kuhusu supply Ya food na Other stuffs provisions to military forces Lazima iwe organised na military chain of command, Lengo ni kuprovide security Isije ikawa ndani kumewekwa vitu visivyoeleweka, na pia huzingatia logistics, na proper distribution Kwa sababu wapo wenye uhitaji zaidi kuliko wengine hivyo wao ndo wanajua nani anauhitaji au hana....

Kama Raia atataka kutoa support kwa anatakiwa apeleke kwenye mashirika ya humanitarian organizations au government agencies ambayo yanahusika kwenye relief efforts.
Na mashirika hayo baada ya kupokea Chakula au msaada huo watapeleka kwenye Millitary chain of command iliyo sawa ili kufanya kuwe Distributed..

Direct, unauthorized involvement Sijui kama kuna Jeshi linaruhusu Maybe hao wameruhusu kwa ajili ya malengo fulani na nahisi ni Kwa publicity baada ya kuonekana Wanajeshi wa Hamas wanakosa baadhi ya support kwa Raia
Raia fan tz atoe ushirikiano KWA jeshi,labda am support ndugu yake siyo jeshi....
Jeshi linasifika kwa umalaya,ukimwi ,vitambi,ubabe na kutesa watu.
At least JKT KWA mbali wanajitahidi kuishi na raia vizuri
 
Mkuu hapo naona cha Kulalamikia ni Kutesa watu tu..
Ni kitu ambacho hakuna mwenye akili Timamu atakipenda...
Ila maisha binafsi kama Umalaya,Ukimwi na Vitambi Nahisi ni maisha binafsi sana 🤣🤣..
Japo majeshi mara nyingi hupimwa mara kwa mara huo unaouta ni Ukimwi
 
Hayo mambo yalishapitwa na wakati mkuu, siku hizi majeshi hayaoperate hivyo tena.

Yani jeshi liende sehemu likitegemea kupata taarifa kwa raia? Kuna njia nyingi advanced siku hizi.

Halafu hao raia hapo ktk video watajuana vipi barabarani? Kila raia anatoka upande wake ktk gari unasema ni salama?
Sio salama na ni hatari kuliko unavyodhani.

Sidhani kama hao wanajeshi walikosa umakini kwa kutumia walivyopewa.
Kwamba hata hao wanajeshi wanaopokea zawadi/vyakula/ vinywaji hivyo hawajui kwamba vinaweza kuwekwa sumu na adui? Ni wazi kwamba na wao wanajua wanachokifanya. Point muhimu kwenye clip ni ushirikiano uliopo kati ya raia na wanajeshi ambapo kwa mazingira ya TZ tayari kuna doa kubwa. Mbaya zaidi hata viongozì wa serikali na jeshi lenyewe hawatoki hadharani na kukemea uonevu wa hao wanajeshi na ikitokea kukemea inakuwa ni geresha tu na kesho yake matukio ya uonevu yanaendelea kama kawaida.
 
Sijui naongea vitu vikubwa imekuwa ngumu kunielewa?

Sijapinga, na nimesema ni kitu kinachopendeza kabisa.

Lakini jeshi liko vitani wakati ambao adui nae anatumia kila namna kuwaangamiza unapokea vipi vyakula & maji kutoka kwa raia?
Ukiamini unapendwa na raia ukajiachia adui anapitia hapohapo.
Ukifuatilia historia nyingi za vita utagundua kua wanajesh wanapokuwa field kuna changamoto huwa zinajitokeza kama kukatiwa supply ya msosi au siraha raia wanakuaga msaada mkubwa sana katika icho kipengele kupewa sumu iyo inakua ni timing tu kama kupigwa risasi kwasababu vitani ni kufa au kupona na haimfanyi kamanda apambane na njaa kwasababu anaogopa sumu

So kuish poa na raia ndo kutafanya mapenzi na uchungu ujitengeneze baina ya raia na makamanda ila kwa jinsi wanavyoishi hawa vijana wetu uonezi wakishamba mimi mwenyewe nawa poison tu[emoji16]
 
Mkuu Nafikir Hiyo ilikuwa ni set up kwa ajili ya Publicity na sio Reality
Lakini pia inaweza kuwa ni reality na siyo kwamba ni set up. Kwamba raia kweli waliona wawaunge mkono kwa kuwapa those kind of stuffs kuonyesha upendo kwao. Na wanajeshi huku wakitambua risk ya kupokea na kutumia hivyo vitu kutoka kwa raia wakaona wasivikatae na badala yake wavipokee kwa ajili ya publicity hata kama huko mbele ya safari hawatavitumia.
 
Safi sana mkuu fafanuzi nzuri na nafurahi wote tumekutana kwenye kitu kimoja Kuwa Its Based on Publicity tu...
 
Kitendo kinachofanyika ktk video ni chema na hakika kinapendeza na kuleta fundisho.

Ila sidhani kama ni salama sana hasa kwa vikosi ambavyo vipo vitani. Adui anaweza kujipenyeza ktk aina nyingi hatari hasa vyakula kama hivyo tunavyoona hapo.

Sidhani kama kuna la kujifunza hapo, labda ingekuwa video ya mwanajeshi aliyejeruhiwa akipatiwa matibabu na raia au vinginevyo.
Njia ya chakula & maji sio ya kujifunzia, ni hatari zaidi.
Mrembo
 
Una akili nyingi dada[emoji106]
 
Dunia ina satellite wao wapo busy kupiga raia wao wanaopiga picha bila kujua maeneo yao ni ujinga tuu Jeshi wanatakiwa wabadilike sana wana Ujinga mwingi upo vichwani mwao...
 
Bila shaka sio mara Moja,mbili au mara tatu na zaidi kuona wanajeshi wetu wakiwapiga raia wao walio apa kuwarinda Hadi tone la mwisho

Imekuwa kawaida sana Kwa mwanajeshi kupitisha mkong'oto Kwa raia na kuji mwambafai wao ndo wao wanapaswa waongopwe siku chache zilizo pita tumeshuhudia nyuzi kadhaa zikiwaongelea wanajeshi wa JWTZ kupitisha mkong'oto Kwa raia wa kawe hasa wanawake na vikongwe!

Kumbukeni raia ndio msaada wenu pekee likitokea jambo lolote. Kinyume chake mnataka kuwa adui Kwa raia.

Jifunzeni [emoji116] [emoji116] ATTACH=full]2818348[/ATTACH]
Kinachowaponza wanajeshi wa Tz ni tamaa na kutaka umaarufu wa kipumbavu, kuna jirani yangu alikuwa anajenga nyumba yake, akaweka materials za ujenzi kwa mwanajeshi, huwezi kuamini yule mwanajeshi alitumia mifuko kadhaa ya saruji na nondo kukamilishia shimo lake la choo akimuahidi kumrejeshea, miaka ikapita hakumrejeshea, mbaya zaidi baadaye akawaambia majirani amejilipa pango la kutunza vifaa
 
Hayo mambo yalishapitwa na wakati mkuu, siku hizi majeshi hayaoperate hivyo tena.

Yani jeshi liende sehemu likitegemea kupata taarifa kwa raia? Kuna njia nyingi advanced siku hizi.

Halafu hao raia hapo ktk video watajuana vipi barabarani? Kila raia anatoka upande wake ktk gari unasema ni salama?
Sio salama na ni hatari kuliko unavyodhani.

Sidhani kama hao wanajeshi walikosa umakini kwa kutumia walivyopewa.
Hakuna siku itafika kuwa binadamu au raia wa kawaida hatokuwa chanzo cha taarifa za kipelelezi. Hakuna katika Dunia hii. Pamoja na technology kukua kiasi cha kufika mawinguni. Bado binadamu ni chanzo kikuu cha taarifa za kipelelezi. Nakuambia hivi nipo field. Yaani ni moja ya shughuli zangu nikiwa nimesoma Cuba, Russia, Israel, China na Marekani. Watalaamu wanatufundisha hivyo. Miezi kadhaa ago nlikuwa Russia.
 
Kinachowaponza wanajeshi wa Tz ni tamaa na kutaka umaarufu wa kipumbavu, kuna jirani yangu alikuwa anajenga nyumba yake, akaweka materials za ujenzi kwa mwanajeshi, huwezi kuamini yule mwanajeshi alitumia mifuko kadhaa ya saruji na nondo kukamilishia shimo lake la choo akimuahidi kumrejeshea, miaka ikapita hakumrejeshea, mbaya zaidi baadaye akawaambia majirani amejilipa pango la kutunza vifaa
Huu ni ushamba na ukosefu wa Elimu
 
Kitendo kinachofanyika ktk video ni chema na hakika kinapendeza na kuleta fundisho.

Ila sidhani kama ni salama sana hasa kwa vikosi ambavyo vipo vitani. Adui anaweza kujipenyeza ktk aina nyingi hatari hasa vyakula kama hivyo tunavyoona hapo.

Sidhani kama kuna la kujifunza hapo, labda ingekuwa video ya mwanajeshi aliyejeruhiwa akipatiwa matibabu na raia au vinginevyo.
Njia ya chakula & maji sio ya kujifunzia, ni hatari zaidi.
Jinga wewe
 
Back
Top Bottom