JWTZ ina vikosi vingapi?

Nafikiri ni kamandi ila tunachanganya labda utufafanulie vizuri tofauti zake
Kwa nnavyoelewa,,,,kikosi kinakua ndani ya kamandi,sabab tanzania tuna kamand 3
Airwing
Navy
Land force

Ndani ya navy ndio tunawapata hao jamaa waliovaa nguo nyeusi wanaitwa marine commando

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa mkuu sasa kwa mantiki hiyo marine commando watakuwa wanacover kamandi mbili yaani Airwing na Navy

Ndiomaana hata tukitazama kwenye hii picha kuna gwanda mbili tu tofauti lakini hata wale paratroopers walivalia gwanda nyeusi

Ila sio kwa kingai
Siwezi Kutoa maoni kwa swali lako ila kwa kukupa maelezo machache mazoezi ya ukomandoo na kazi yenyewe ni kama mabondia, wachezaji Mpra nk ili uwe fit unatakiwa mazoezi kila wakati ukiacha mazoezi ,mwili na akili ya upiganaji inatokea mabadiliko unakuwa hali ya kawaida.
Ndio maana kila wakati wanafanya mazoezi ya mwili na kutumia vifaa hawa wa Tz, USA nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…