Yaani kisa hao kina Kingai na Mahita eti ndiyo wabongo wanaona kama mapolisi wako vizuri kuliko makomandoo wa jwtz! Hatuna budi kuwaacha wabaki na ujinga wao mkuu!
Kwamba polisi ndiyo yuko vizuri kimafunzo kuliko mwanajeshi? Endeleeni kujifariji tu kwa kuwatolea mifano hao hao wahuni wenzenu kina Kingai na Mahita ila msije mkajichanganya!
Wanakuwa vijana wa jkt ambao ni guard ya 5 na ya 6 kuwakilisha kamandi ya JKT me nimewaona mwaka huu wanavojiandaa na uhuru day hata ile guard ya jeshi la uhamiaji wale ni vijana wa jkt wanatumika sana na majeshi ila tuu hawawajali wanarudishwa kitaa wakateseke