Justine Kalikawe

nme soma uzi mmoja humu kuhusu Bob Marley kuuwawa na CIA nashawishika pia juu ya kifo ya huyu jamaa kua aliuwawa
 
Kuna nyimbo mmoja ilikuwa inaitwa Wamachinga
 
Jamaa alikuwa anajua sana nakumbuka mwaka 1990 alikuja kwenye harusi dada yangu alipiga gitaa hatari Sana.
 
Gangwe aliyekataa kumeza Dawa imani yake ilimponza... Majani majani majani tu
 
Nasikia walmfanya msikule bhad anaish uyu
Nilisikia pia kitu km hicho, pale nje kidogo na BK kuna hotel moja kubwa sana( jina kapuni), wajuvi wa mambo wanasema aliwahi kuonekana kwenye hiyo hotel baada ya kifo chake.....sina uhakika na haya maana siwez kudhibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…