Mkuu umetoa analysis ya nguvu.Alikuwa na nguvu kukemea ufisadi but now unataka aongelee nini wakati kubwa lao analog ndani ya chama? Unataka azungumzie demokrasia wakati chama kina life chairman? Unataka azungumzie bunge live wakati wao hawamo bungeni? Azungumzie maandamano ya akina mbowe na polis wakati serikali imezuia na Linda alisema mkaidi apigwe? Unataka azungumzie bajeti wakati bajeti inachqmbuliwa mitaani na akina zzk. Muache ale bata mkaka wa watu
Swala la Mnyika ni zito sana maana team lowassa na 4u movement wameapa kumpoteza mpaka na yeye akubali kumsafisha lowassaMimi nilidhani labda he is sick, kumbe yupo? Au kwa kuwa Bunge haliko live?
Mkuu usiite haya ni majungu huko ni kumchokoza Mnyika. Mnyika akifunguka chadema inavunjika vipande vipande.Kwanza ungejiweka wazi ulikuwa kamati IPI ya MNYIKA uchaguzi uliopita na kiongozi wa kamati yako alikuwa nani?? Kama jibu huna basi majungu peleka kwenu
digree ya nini mbona wabunge wenu ni la sabaMnyika bado ni mdogo sana. Nadhani alishindwa kusema kwa kuhofia mustakabali wake. Hapo alipo hana mke wala Degree.
Swala la Mnyika ni zito sana maana team lowassa na 4u movement wameapa kumpoteza mpaka na yeye akubali kumsafisha lowassa
Lazima utakuwa unapigania maslahi yako binafsi. Uchochezi kama huu hauna maana yoyote wala thamaniWadau wote wa demokrasia na maendeleo tuungane kwa pamoja kupigania haki ya mpambanaji wetu John Mnyika.
Mnyika amekuwa kimya sana tangia ujio wa Lowassa na team yake ndani ya UKAWA. Inasemekana Mnyika akufurahishwa na mapokezi ya Lowassa na team yake kwenye chama na alifanya busara ya kukaa kimya.
Mnyika ni mpambanaji wa ufisadi na amekuwa akiunga mkono mtu yoyote anayewasulubu mafisadi.
Ila kinachosikitisha ni jitihada zinazofanywa kumpoteza kwenye ulingo wa kisiasa na kundi hovu.
Kundi ilo limefanikiwa kumpora nafasi aliyoandaliwa kumrithi Dr Slaa na sasa linaendelea kumzima kwa njia "spiritual" na kimafia.
Wadau tupaze sauti zetu kumlilia Mnyika maana taifa linapoteza hazina muhimu sana sababu ya tamaa za watu za pesa na madaraka.
Tulimpoteza Chacha Wangwe tusikubari kumpoteza Mnyika.
#BringOurMnyikaBack
una vituko wewe! Mbona ana jiwe la mlimani?Mnyika bado ni mdogo sana. Nadhani alishindwa kusema kwa kuhofia mustakabali wake. Hapo alipo hana mke wala Degree.
CHADEMA ya akina Mnyika, slaa, Zitto ni sawa na Simba ya akina Okwi, Mafisango na Samatta haiji kutokea tena
hahahaMnyika bado ni mdogo sana. Nadhani alishindwa kusema kwa kuhofia mustakabali wake. Hapo alipo hana mke wala Degree.
Hakumaliza Mlimani alitimuliwa sababu ya harakati za kupinga ufisadi.una vituko wewe! Mbona ana jiwe la mlimani?
Haya matusi kwa Mnyika sababu chama kimeuzwa?Yeye Mnyika asijidai yeye ni kichwa sana hapa Tz. Kama makosa yalitendeka baasiiii muda wake umepita tuendelee kupambana audui wetu ni yuleyule CCM!!
Sasa yeye anazira weeee utadhani demu, CHADEMA si yako tu ni yetu wote, huna uchungu kuzidi wengine!!
CCM kuna watu wamefanya au wanamadudu lakini wanasameana na maisha yanasonga itakuwa wewe Mtoto wa 1980s!!
Please tekeleza wajibu wako kama kiongozi wa chama na kama Mbunge!
Hutaki unapisha vyote (Ubunge pamoja na cheo chamani).
Kibamba hata marudio yakiitishwa asubuhi bila kampeni, CDM inashinda asubuhi tu, Mf. Salum Mwalimu.
Mnyika naye ni jipu tu, sema wamemuwahi ulaji kuwa Katibu Mkuu shsuri ya elimu. Nina madudu matatu ya Mnyika. Ni yeye sliyejenga hoja ya kwamva Karume na Nyerere wslifanta kughudhi Hati ya Muungano. Mnyika alikuwacwa kwanza kufukyzwa Bungeni alipoomba mwongozo bunge liache mada zake liongee juu ya BVR machines kumbe ni wao walikuwa wanamhujumu Jaji Lubuva katika kazi yake ili uandikushaji ukwame. Mnyika bado nu kijana - aende shule akasome BA.Wadau wote wa demokrasia na maendeleo tuungane kwa pamoja kupigania haki ya mpambanaji wetu John Mnyika.