bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Mnyika ni mzuri na anazo akili.
Nfasi ya Mnyika amepewa Salum Mwalimu ambaye alipaswa kufanya kazi Visiwani. Huu ni mkakati wa Lowasa kuhakikisha kuwa wale wote waliompinga wakati anaingia CHADEMA hawapati nafasi
Wewe unafundisha watu unafiki? Unataka wote wawe kama Mbowe?.
View attachment 358020
Anachokifanya John kwa sasa ni unafiki pia.
Anataka aonekane hafungamani na mafisadi ilhali yuko sebuleni kwao.
Chadema chama cha kimagumashi,alitakiwa awe mtendaji na kueneza chama zanzibar,kapiga kambi mwanza,sasa kule zanzibar ofisi kamuachia nani?au kule kuna ofisi ya bpsheni tu ili kutekeleza matakwa ya katiba tu,kwamba ili chama kipate usajili lazima kiwepo bara na visiwani?Nfasi ya Mnyika amepewa Salum Mwalimu ambaye alipaswa kufanya kazi Visiwani. Huu ni mkakati wa Lowasa kuhakikisha kuwa wale wote waliompinga wakati anaingia CHADEMA hawapati nafasi
Nfasi ya Mnyika amepewa Salum Mwalimu ambaye alipaswa kufanya kazi Visiwani. Huu ni mkakati wa Lowasa kuhakikisha kuwa wale wote waliompinga wakati anaingia CHADEMA hawapati nafasi
Mkuu hauitaji tena mchango wa Mnyika? Imagine angekuwa bungeni anachambua bajeti kwa ile style yake, ila ndio basi tena.
Leo CCM mnasema justice for Mnyika??
Mnyika bado ni mdogo sana. Nadhani alishindwa kusema kwa kuhofia mustakabali wake. Hapo alipo hana mke wala Degree.
Slaa na Lipumba waliposema HAJAFURAHISHWA NA UJIO WA LOWASSA ,,SIKU HIZI mnawaitaje?????Ebu acheni UNAFIKI......Tunawaambia ukweli kabsa HIKI CHAMA kisipo chunga VINYWA VENU katu hamuwezi mkawa WAPINZANI BORA ndani ya NCHII HII...afu nyie vijna wa CHADEMA msipende kukumbatia yalio maovu yanayotokea ndani ya CHAMA chenu mjifunze kupaza SAUTI kama wafanyavyo UVCCM...kwa wanaojitambua kabsa na wana mapenzi ya kweli na hiki CHAMA suala la MNYIKA kama mleta uzi alivyouleta hapa LINA MANTIKI SANA...nani asiyetambua umahili wa MNYIKA KATIKA MABUNGE YALIYOPITA???....hIVI KAMA KWELI MNA MAPENZI YA DHATI NA CHADEMA MNAKUBALIANA NA UKIMYA wa aina ya VIJANA KAMA HUYU ndani YA CHADEMA......Hawa ndio aina chache ya VIJANA ndani ya CHADEMA walio na uwezo wa kuiondoa CCM madarakani.....Si ubwatukajiKama hakufurahishwa kwa nini hakusema kwani hana mdomo? Slaa na lipumba walisema.Utampiganiaje kitu mtu ambacho hajasema unaishia kusema inasemekana???!!!!
Slaa na Lipumba waliposema HAJAFURAHISHWA NA UJIO WA LOWASSA ,,SIKU HIZI mnawaitaje?????Ebu acheni UNAFIKI......Tunawaambia ukweli kabsa HIKI CHAMA kisipo chunga VINYWA VENU katu hamuwezi mkawa WAPINZANI BORA ndani ya NCHII HII...afu nyie vijna wa CHADEMA msipende kukumbatia yalio maovu yanayotokea ndani ya CHAMA chenu mjifunze kupaza SAUTI kama wafanyavyo UVCCM...kwa wanaojitambua kabsa na wana mapenzi ya kweli na hiki CHAMA suala la MNYIKA kama mleta uzi alivyouleta hapa LINA MANTIKI SANA...nani asiyetambua umahili wa MNYIKA KATIKA MABUNGE YALIYOPITA???....hIVI KAMA KWELI MNA MAPENZI YA DHATI NA CHADEMA MNAKUBALIANA NA UKIMYA wa aina ya VIJANA KAMA HUYU ndani YA CHADEMA......Hawa ndio aina chache ya VIJANA ndani ya CHADEMA walio na uwezo wa kuiondoa CCM madarakani.....Si ubwatukaji
Ndio maana tunasema mchunge vinywa vyenu acheni uropokaji......MLISEMA BAADA YA UCHAGUZI HUU CCM ITAKUA CHAMA PINZANI LAKINI WAPI.....jana SUMAYE ana kubali MAGUFULI alichaguliwa KIDEMOKRASIA....mwenzake anasema aliibiwa kura.....YAANI ATUWAELEWI KABSA......Subiri utakapo kuwa mpinzani 2020
mzimu wa zzk ndo unamtafuna tu alimtukana sana lkn saiv zzk ndo yuko juu yakeWadau wote wa demokrasia na maendeleo tuungane kwa pamoja kupigania haki ya mpambanaji wetu John Mnyika.
Mnyika amekuwa kimya sana tangia ujio wa Lowassa na team yake ndani ya UKAWA. Inasemekana Mnyika akufurahishwa na mapokezi ya Lowassa na team yake kwenye chama na alifanya busara ya kukaa kimya.
Mnyika ni mpambanaji wa ufisadi na amekuwa akiunga mkono mtu yoyote anayewasulubu mafisadi.
Ila kinachosikitisha ni jitihada zinazofanywa kumpoteza kwenye ulingo wa kisiasa na kundi hovu.
Kundi ilo limefanikiwa kumpora nafasi aliyoandaliwa kumrithi Dr Slaa na sasa linaendelea kumzima kwa njia "spiritual" na kimafia.
Wadau tupaze sauti zetu kumlilia Mnyika maana taifa linapoteza hazina muhimu sana sababu ya tamaa za watu za pesa na madaraka.
Tulimpoteza Chacha Wangwe tusikubari kumpoteza Mnyika.
#BringOurMnyikaBack