TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
Mpigie Simu au Pigia simu Chadema, Mbona Humuulizii Halima Mdee, au Selasini au Msigwa? Myika ni Mwanasheria, inawezekana Chadema wanastratege Wengine wanaandaa mikakati in-office. Pili Myika Nadhani ni Naibu Katibu Mkuu, Labda anasaidiana na Katibu mkuu kuweka baadhi ya mambo sawa.