mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,693
Inasemekana Mnyika akufurahishwa na mapokezi ya Lowassa na team yake kwenye chama na alifanya busara ya kukaa kimya.
#justiceformnyikaKama hakufurahishwa kwa nini hakusema kwani hana mdomo? Slaa na lipumba walisema.Utampiganiaje kitu mtu ambacho hajasema unaishia kusema inasemekana???!!!!
Mnyika bado ni mdogo sana. Nadhani alishindwa kusema kwa kuhofia mustakabali wake. Hapo alipo hana mke wala Degree.Kama hakufurahishwa kwa nini hakusema kwani hana mdomo? Slaa na lipumba walisema.Utampiganiaje kitu mtu ambacho hajasema unaishia kusema inasemekana???!!!!
Mnyika anachukizwa sana na chama chake kuwa rafiki wa mafisadi na kupinga utumbuaji majipu.Mnyika anajiandaa kujiunga na CCM...... Maana Chadema siku hizi wamekumbatia mafisadi....
Yupo shule anajiendeleza
Yupo shule anajiendeleza
MNYIKA ana miaka 36 ya kuzaliwa hajamaliza kusoma tu!! Haoi wala hana digrii hata moja ana matatizo gani?Yupo shule anajiendeleza
Mkuu Mnyika apendezwi na namna mambo yanavyoenda kwenye chama. Siku akitoa ya moyoni mtamuita msaliti maana Mnyika awezi uongo.Nilikuwa mfuasi mkubwa wa staili ya siasa za John Mnyika mpaka nilithubutu kumtabiria kwamba kama ni Rais itatokea Rais akatoka nje ya CCM basi angelikuwa Mnyika. Lakini ghafla Chadema ilipompokea Lowassa, John Mnyika naye alibadilisha staili ya siasa zake, akaja na staili mpya ya Hero to Zero ndani ya Chadema.
CHADEMA ya akina Mnyika, slaa, Zitto ni sawa na Simba ya akina Okwi, Mafisango na Samatta haiji kutokea tena
Mkuu hauitaji tena mchango wa Mnyika? Imagine angekuwa bungeni anachambua bajeti kwa ile style yake, ila ndio basi tena.mr gentleman umetumwa na nani? Kamalizaneni kwanza na sakata la mwenyekiti wa chama chenu cha majipu.