Just imagine

Just imagine

Sasa si akuhide yeye anaeteseka?

Kuna unuhimu gani wa wewe kupost hao wanaume? Au ndio kumrusha roho nayeye alivyo fala anakufatilia
Hi nayo ni Point Muhimu Sana... Hakuna haja ya Kufuatiliana Lakini pia kupost post Picha kunaweza kutoleta matokeo mazuri mbeleni
 
Kwa umri wangu hu sasa wa miongo kadhaa hapa duniani, nimeona na nimejiridhisha kwamba, ukiona mahusiano yamekufa ujue mwanamke ndio kachoka, WANAUME hatuko tayari kuachilia mwanamke yeyote aliyepo mikononi mwetu atutoke na hata akitutoka na akapata mwanaume mwingine, ROHO itakuuma tu; kwa ufupi moyo wa mwanaume haushibi wala kutosheka na mwanamke/wanawake.
 
Hi nayo ni Point Muhimu Sana... Hakuna haja ya Kufuatiliana Lakini pia kupost post Picha kunaweza kutoleta matokeo mazuri mbeleni

Hakuna haja ya kufuatiliana inaonesha huyu dada anafanya hivyo makusudi(wote hawajamove on). Ukishamshauri mtu zaidi ya mara moja juu ya mienendo yake muache kama hatobadilika muda n mwalim mzuri zaidi.
 
Tangu nimeachana na mwanaume wangu (SIO WA KWAKO TENA) tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja.sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public (ANAENDELEA NA MAISHA YAKE) kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile.amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume imagine ungekuwa wewe ungefanyaje anasema anajisikia vibaya (WAKATI ANA MAHUSIANO MAPYA??) ataki kuwaona (AFUTE NAMBA YAKO)
Amekuambia usiweke picha yoyote na umefanya hivyo kwavile umeruhusu aendelee kua na maamuzi juu ya maisha yako!!!
 
Tangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja.sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile.amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume imagine ungekuwa wewe ungefanyaje anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
Kupitia uzi huu nazidi kukubaliana na msimamo wa kutooa single mothers mpaka pale nitakapojiridhisha kuwa baba wa mtoto ni marehem.
 
Cause imefika stage nimeamua tu kumrespect I m not posting the mens kila nikipost lazima tugombane
Hapo ukute kuna jamaa anajiona kapata single mother safi...kumbe bado anampenda na kumtii baba mtoto wake.Single mothers
 
Back
Top Bottom