Just imagine

Just imagine

Tangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja.sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile.amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume imagine ungekuwa wewe ungefanyaje anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
mliachana kisa nini?
alikuoa au kukuchumbia?
mahusiano yenu yalidumu kwa muda gani kabla ya kuachana?
 
Naona anajaribu kukusaidia maana hauna akili ni kweli usipost post wanaume hovyo tafuta mmoja na wewe na umposti ambae unauhakika naye maana usipoolewa utakuja kumlaumu baadae nimejaribu kuimagine hivyo
 
Tangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja.sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile.amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume imagine ungekuwa wewe ungefanyaje anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
Unapost wanaume wangapi?
Inaonekana anamuonea mtoto wake huruma anavyobadilishiwa waankoz kila siku.
 
Naona anajaribu kukusaidia maana hauna akili ni kweli usipost post wanaume hovyo tafuta mmoja na wewe na umposti ambae unauhakika naye maana usipoolewa utakuja kumlaumu baadae nimejaribu kuimagine hivyo
Ni friends tu may be wana birth nawa wish
 
Ni friends tu may be wana birth nawa wish
Usidhani anakuonea wivu ni msaada anakupa maana tayari unamtoto alafu kila siku unabadilisha picha za wanaume sio sifa nzuri kwa mustakabali wa mtoto wake na maisha yako. Kifupi jamaa anakupenda kwa dhati hataki udharaulike ni basi kuna namna mlishindwa kuyatatua matatizo yenu
 
hiyo haina shida nipe mzigo nikinogewa nakupost mimi halafu nakutag aone kivingine
 
Mmh nilikuta text kwa phone ake nikamwambia na move on
ulizingua sana. japo kwa upande wako unaweza ona ni sahihi!
kwa ushauri wa bure unapaswa umtafute na umtake radhi.
wanawake wa siku hizi ni viburi sana...!
alafu nakuona unavyomnyanyasa mtoto 👉🏿
ona unavyomtesa mtoto kisa panic attack za kukuta msg!
inabidi uwe fala/mstaarabu kwa faida ya mtoto na wewe zaidi.
ACHA UNDEZIII
 
Yani yeye kishamove ana mtu, afu huyu haruhusiwi kupost matraakooo yake
Jamaa keshaona uyu bidada bado ana matumaini ya kurudiana ndo maana anamdrive ivo, inakuwaje kila mtu na maisha yake afu akupangie sasa! Labda na umri wao bado hawajielewi ni nini wafanye
 
Back
Top Bottom