Just for fun JF Ladies: Who's your favourite? Why?

BelindaJacob

Platinum Member
Nov 24, 2008
6,474
4,022
293359_10151120474403567_1021036261_n.jpg
 
Ilibaki kidogo nianze kuchangia ndio nikakurupuka kumbe ni ........., cha.....kike...... Alamsiki.
 
Unajua me kwa Saikolojia yangu Binafsi hadi niliyosoma Chuoni,nadhani watu wenye sura pana,zenye ukali kidogo na kipara cha Kiushkaji (Hasa Manigga) huwa na vitu vya ziada ktk Miili yao.
Na ndo maana hukimbiliwa na wanawake wengi than wale wasiokuwa na sifa hzo.
Hebu cheki #3 chini toka kushoto, na anaefuatia #4
I really like dizaini hyo,kuliko wapaka mapowder!!
 
Number 2: I like his featuring in Soul food where he plays gangsta. Simjui jina
Number 10: Boris Kodjoe, He is cute, his wife is beautiful and he is just all that...
Number 12: Taye Diggs, who can possibly resist? looks like Kambaku...
 
Last edited by a moderator:
no.2 coz am mad na black/dark guys, no. 10, mamama mia! anaonekana yupo mascular, atakuwa na 6 packs lazma, huo upara mie nafwaaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom